Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

True huwezi mtumbua mbeba siri ili kulinda siri lzm maamuzi magumu yafanyike
 
Inakuwa vigumu sana kujitenga na sehemu ya mwili wako!
Mfano ni sawa na kumwambia ajitenge na mikono yake!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suluhisho ni makonda kuuwawa!
 
Kwani Marekani ni mbinguni ambako wanaoingia ni watakatifu pekee?
Hii mifano ya kijuha ndiyo imepelekea Daud Bashite kuendelea kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani na unyama mwingineo mwingi, badala umkatazee aache unyanyasaji wake unaanza kumfundisha kujimwambafy
 
akimuacha Bashite ofisini means yeye ndiyo huwa anamtuma kutekeleza hayo anayoshutumiwa nayo Bashite.
Katika kila utawala kunakuwa na mbuzi wa kafala. Unakumbuka jinsi Mwalimu alivyokuwa anamtuma Kawawa na likibumbuluka anauza, "Je, Rashid mie ndiye nilikutuma?". Kawawa anasema hapana. Je, unakumbuka issue ya sukari na Idd Simba? Huo ndio uongozi, hata kama amemtuma lazima Makonda amsitili na njia rahisi sana ni Makonda kujiuzulu au afukuzwe kazi kwa kuuma jino. Utawala upo hivyo na ni jukumu la sie kulinda taasisi ya urais
 
kwani marekani ni nani?
kwamba kila atakachosema tufuate
walishatutawala wakati wa ukoloni inatosha
 
Cyprian Musiba na Le mutuz sasa wanakula pesa za mtukufu na Daud Bashite kama mchwa kwa kisingizio cha kuwasaidia kuepuka mkono wa marekani, Le mutuz kaandaa bajeti kubwa kwa ajili ya ndumba za kila aina, kufa kufaana
 
kwa anavyo wachinja waislamu wenzangu watoto kwa.wazee bila kosa namuona ni shetani...

Ila kwavile USA ni muzungu nakuunga mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
Magaidi ujifichia kwa wanawake na watoto ili kupata cover ili dunia ipone inabidi hata wasio na hatia wajitoe sadaka bila hivo dunia ingetawaliwa na ISIS,Alqaeda,Mujahidin,alshabab,boko.
Ningekuwa trump hawa madikteta,wababe wa kivita,makundi ya kigaidi,vikundi vya waasi,wajamaa ningewasafirisha waondoke duniani hawa ndio wanaoisumbua dunia wangechezea drones wapotelee mbali,haiwezekani watu wachache waliokosa malezi bora utotoni waachwe waiharibu dunia hivihivi.Check dunia inavoingia gharama za kuwahudumia wakimbizi sababu ya ujinga Wa wachache hizo Pesa si zingeenda kwenye mengine ya kuisaidia dunia
 
Tangia nimejua kua bashite na Hamida ni mtu na dada yake basi nikaacha kuumiza kichwa kujiuliza kwann jiwe kuu linapata tabu sana kumtumbua, sana sana hua nawaangalia naishia kucheka tuu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cyprian Musiba na Le mutuz sasa wanakula pesa za mtukufu na Daud Bashite kama mchwa kwa kisingizio cha kuwasaidia kuepuka mkono wa marekani, Le mutuz kaandaa bajeti kubwa kwa ajili ya ndumba za kila aina, kufa kufaana
Ndumba zitawasaidia nn hali wako uchi
 
Daud Bashite ni msiri wa mtukufu na pia ni dalali wa ununuzi wa Ndege na ana 10% zake kwenye miradi yote mikubwa kwa kifupi ni mashirika wake mkubwa na pengine America wamemtumia Bashite kupeleka salam kwa mtukufu malaika toka chato.
 
Daud Bashite ni msiri wa mtukufu na pia ni dalali wa ununuzi wa Ndege na ana 10% zake kwenye miradi yote mikubwa kwa kifupi ni mashirika wake mkubwa na pengine America wamemtumia Bashite kupeleka salam kwa mtukufu malaika toka chato.
Huwezitenganisha remote na tv miguu na meza uganga na tunguli ukiondoa kimoja vyote ufa
 
minyoo,
Assume unayosema ni sawa, kumsitiri huyo boss wake ni muhimu na ndiyo tafsiri ya urafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…