Hawezi kujitenga nae kirahisi, lakini leo nampa njia rais na salama kuliko zote na itakayompa amani wakati wote wa maisha yake mheshimiwa Rais.
AMUUE.
Baada ya hapo, hatakokuwa na la kuhofia.
Kama mke wake anaweza kuwa tishio kwa namna yoyote ile.
AMUUE PIA.
Lakini na hao watakaotekeleza mauaji, itabidi AWAUE PIA.
Hana pa kutokea, Aibu kubwa inamnyemelea mwenyekiti wako. kisu alichokishika kina kula kutatu.
Kiukweli kabisa, kama kunakitu binaadamu tunapaswa kujiepusha nacho kwa namna yoyote ile, ni kutoa uhai wa binaadamu mwingine. Ukiishafanya hicho kitendo unakuwa umetoa rehani uhuru wako wa kuishi