Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

True huwezi mtumbua mbeba siri ili kulinda siri lzm maamuzi magumu yafanyike
Ruge mutahaba anamlilia sana hata rafiki yake January makamba siku ya kuaga mwili wa Ruge alitoa mafumbo na pengine na yeye kachangia kuwapa America siri za Bashite pia
 
Halafu kuna ng'ombe bado zinaamini Magufuli ana jeuri ya kuwakazia 'wakubwa' wa dunia... hahahaaa... kamuulizeni Gadaffi na jeuri zake kilimkuta nini; kamuulizeni Nyerere kwanini aling'atuka madarakani, kama haitoshi kawaulizeni Iran wana maisha gani baada ya kumkazia 'kiranja' wa dunia ukilinganisha na kabla hajawaweka kwenye rada yake. Wapo majirani zetu Zimbabwe hapa, ni mfano mzuri wa kinachotokea unapojifanya 'unaweza bila kuwezeshwa'.

If you can't fight them, join them. I believe in the size of the dog in a fight, not the size of the fight in a dog! Tanzania sio kisiwa - tunawategemea kuliko wanavyotutegemea, they have got nothing to lose. Tuache hizi porojo za kujiona we are a 'donor country'. 🙄
 
Hongera sana kwa kuwa na fikra kama za mwenyekiti wako meko
 
Mtasubiri sana ,hivi Makonda alimt nani kati yenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja za kipumbavuvkabisa.

Hana muda na wamarekani wakati analilia hela zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magu hana ubavu wa kujitenga na Bashite
 

Duuu! kumbe mazuzu bado wapo?
Ukiambiwa na m mbea hapo wa mtaani kwako kuwa mkeo analiwa na jirani yako utampiga talaka bila hata kujiridhisha kwa uchunguzi huru?
 
brother ukimuona jirani yako anampiga mtoto wako Kama mbwa mwizi mbele ya macho yako, Jua wazi kuwa anaetafutwa hapo ni wewe mkubwa mwenzie.
Hicho ndicho kinachofanyika, hayo ni maneno tu ya kidipromasia ni aibu ya kuwaambia wazee wa baraza hadharani Kuwa wako uchi.
Kama watashupaza Shingo ujue wazi mabeberu hawatakomea hapo, lao ni Moja si umewasikia marafiki wetu wa jadi waswiss, baadae watapiga Pigo la pamoja baadae EU na wengine watafuata.
Tunasema wana maslahi kwetu tumeyakata na sasa wanatuadhibu!
Huo ni upande mmoja, je upande wa pili nao tunauzingatia?Tunaupa uzito gani?Maana sisi watanzania tunalo tatizo la kutaka kuangalia upande tunao upenda!
Vipi kuhusu Lisu? Tumesahau kuwa sisi ndio tumemfanya aanze kutangatanga huko duniani?
Nani anajari kuhusu maumivu yake?
Sio sisi tuliosema ni msaliti na asulubiwe na kweli akasulubiwa na maadui zetu, Ili sisi tuonekane mbele ya macho ya umma tumemsulubisha na lengo la maadui zetu kutuchafua litimie.
Ni sawa tumeshindwa kuwajibika kidogo hatuekuenda mbali kutaka kumjua Adui wa Adui yetu, hivyo tukamrahisishia adui yetu kutupaka matope huko duniani.
Tukawa tunasikia ataongea na kamati za EU, bunge la marekani na kwingineko sisi tukasema acha azulule! na tena Sisi Kwa hasira tukasema acha tumtekelezee haki zake za kibinadamu,timua ubunge, kataa kumtibia kwa sababu hatukujua alikokuwa.
ee sisi ni nchi huru bwana hatuingiliwi kwani nini?
Hatukutaka hata kujua wasio julikana ni akina Nani ili mladi wanatusaidia kwa kiwango Fulani.
Sababu kuwa tunapuuza haki za watu kuishi ni uongo na kipuuzi?
Sababu kuwa tumeviza haki zetu za kidemokrasia ni uongo? Uhuru wa sisi kukutana uko sawa na wawenzetu kukutana?
Hawa ni marafiki wa kweli wanaposema tuko uchi tuchutame harafu tusubiri Kama watatuomba dhahabu.
 
huu ni upepo tu utapita. makonda ataendelea kudumu ktk nafasi yake, mkuu hapangiwi. Alishasemaga.
Mwisho wake ndiyo huo hakuna namna ndugu lazima aondoke ktk hiyo nafasi au aondolewe na aliyemteua
 
Hatuwezi kumtoa RC MAKONDA kwa shinikizo la USA, Tanzania ni nchi huru na ina taratibu zake..Makonda ni kijana wetu Mzalendo aliyekulia na kulelewa na CCM..
 
Mkuu,
Mengi umeyaongelea ni sawa kabisa, Tanzania ina watu wangapi? kwa mujibu wako wewe watu wangapi wamenyima haki zao za kuishi naomba uwaorodheshe hapa kwa takwimu sahihi ulizonazo na zinazoeleweka, na ukiweza kwa majina.
Uhuru wa kukutana? Wewe kama wewe umefanya vikao gani umenyimwa?
Demokrasia ya Afrika imebadilika lini?
Nijibu haya Kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…