minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wapambe akina Le mutuz na cyprian Musiba watakula wapi akifa? Lazima wazue hiyo kwa gharama zozoteSuluhisho ni makonda kuuwawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapambe akina Le mutuz na cyprian Musiba watakula wapi akifa? Lazima wazue hiyo kwa gharama zozoteSuluhisho ni makonda kuuwawa!
Afanye kama Lowasa alivyojiuzulu kumlinda KikweteAssume unayosema ni sawa, kumsitiri huyo boss wake ni muhimu na ndiyo tafsiri ya urafiki
comrade Fatuma mbona hivyo lakini?Kwani Marekani ni mbinguni ambako wanaoingia ni watakatifu pekee?
Ruge mutahaba anamlilia sana hata rafiki yake January makamba siku ya kuaga mwili wa Ruge alitoa mafumbo na pengine na yeye kachangia kuwapa America siri za Bashite piaTrue huwezi mtumbua mbeba siri ili kulinda siri lzm maamuzi magumu yafanyike
Kama walikua wanaua watu kufanya matambiko, mizimu inataka damu nzito zaidi awamu hii.Ushirika Wa wachawi si Wa kudumu mwisho umefika kila jambo lina mwisho wake
Hongera sana kwa kuwa na fikra kama za mwenyekiti wako mekoMagaidi ujifichia kwa wanawake na watoto ili kupata cover ili dunia ipone inabidi hata wasio na hatia wajitoe sadaka bila hivo dunia ingetawaliwa na ISIS,Alqaeda,Mujahidin,alshabab,boko.
Ningekuwa trump hawa madikteta,wababe wa kivita,makundi ya kigaidi,vikundi vya waasi,wajamaa ningewasafirisha waondoke duniani hawa ndio wanaoisumbua dunia wangechezea drones wapotelee mbali,haiwezekani watu wachache waliokosa malezi bora utotoni waachwe waiharibu dunia hivihivi.Check dunia inavoingia gharama za kuwahudumia wakimbizi sababu ya ujinga Wa wachache hizo Pesa si zingeenda kwenye mengine ya kuisaidia dunia
Marekani imesema: Makonda ni mkandamizaji wa haki za kibinaadamu ikiwemo haki ya kuishi (kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa anahusika na mauaji ya raia); haki ya kidemokrasia na nyinginezo. Anapaswa kuwekwa kando haraka!
Marekani imetega mtego usio na magego. Mtego mkali. Mtego wao unaanzia kwenye swali la kiudadisi: Makonda amefikiaje kukandamiza haki za kibinaadamu hadi kupigwa marufuku ya kuingia Marekani akiwa amezungukwa na wakuu wake(ukiwemo Mwenyekiti wangu) waliopaswa kumdhibiti?
Marekani imeamua kukusaidia kujitenga na Makonda. Marekani imekutega Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli. Imekusaidia na kukupa nafasi adhimu. Jitenge na Makonda kabla ya mambo mrama kwenda!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hoja za kipumbavuvkabisa.Sidhani kama utakuwa uamuzi wa busara kwa mwenyekiti kujitenga na Makonda kwa sasa,Kujitenga na Makonda ni kukubaliana na mawazo ya wamarekani, Kuna vitu lazima ujifunze kuviangalia kwa macho ya tatu, Mwalimu wangu wa Physics alikuwa anasema jaribu kuwa nje ya mada na uwe mwangaliaji kwa mbali ndio utaona uhalisia,
Nakukumbusha,
Mwana Mfalme wa Saud alipoamua kwa makusudi na maslahi yake na kwa uwazi kabisa kumuua Mwandishi wa Habari aliyekuwa anaandikia CNN Jamal Khashogi, Turkey alikuwa kiranja kuionyesha US Kuwa Mwanamfalme ni mkosaji, na ushaidi upo, lakini US Iliziba masikio,umeshajiuliza kwanini?
Maslahi, Trump alimtetea mwanamfalme waziwazi, na pia Pompeo alitumwa Turkey na baadaye SAUDIA Kuhakikisha kwamba mambo yanakaa sawa, hatimaye ERDOGAN alisalimu amri! Unajua sababu?
Nini nafasi ya maslahi ya US na magharibi katika serikali ya awamu ya 5. Toka Rais ameapishwa hajakanyaga US wala EU na kwingineko, Je maslahi ya US na washirika wake yaliyoimarishwa awamu ya 4 yanarindwaje? Ikiwa Kiongozi aliyeko madarakani hana muda nao!!!
Je nani ni wamiliki wa makampuni ya ACACIA na BARICK? Nini hatima ya maslahi ya Mataifa ya nje?
Embu jiulize unamfungia mtu ambaye hana umuhimu wa kuja nchini kwako si ujinga huo.
Suala la Makonda halihitaji Muhemuko, wala Siasa za Kipumbavu, Sababu zilizoongelewa ni za Kishabiki zaidi.
Magu hana ubavu wa kujitenga na BashiteMarekani imesema: Makonda ni mkandamizaji wa haki za kibinaadamu ikiwemo haki ya kuishi (kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa anahusika na mauaji ya raia); haki ya kidemokrasia na nyinginezo. Anapaswa kuwekwa kando haraka!
Marekani imetega mtego usio na magego. Mtego mkali. Mtego wao unaanzia kwenye swali la kiudadisi: Makonda amefikiaje kukandamiza haki za kibinaadamu hadi kupigwa marufuku ya kuingia Marekani akiwa amezungukwa na wakuu wake(ukiwemo Mwenyekiti wangu) waliopaswa kumdhibiti?
Marekani imeamua kukusaidia kujitenga na Makonda. Marekani imekutega Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli. Imekusaidia na kukupa nafasi adhimu. Jitenge na Makonda kabla ya mambo mrama kwenda!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Baada ya tangazo la Serikali ya Marekani kumzuia Makonda na familia yake kupata visa ya Marekani Kuna uwezekana mkubwa huo ndiyo ukawa mwisho wa Makonda kisiasa.
Tangazo hilo halijatoa Picha nzuri kwa uongozi wa awamu ya tano na ili kurudisha heshima na mahusiano hayo tena ni Makonda kuondolewa katika nafasi ya Mkuu wa mkoa haraka Sana.
Wamerakani watakawa wametuma makachero wao ndani ya nchi Kama majasusi bila tz kujua na uwezekano wamekuja Kama watalii na kukusanya habari nyingi Sana za ndani ya mifumo ya Serikali.
Ni wakati umefika RC aondoke haraka katika nafasi hiyo.
Ni aibu kubwa sana kwa nchi kwa tangazo hilo.
Kweli kabisa yaan kma wanampiga ban kisa issue ya upunga, bora tufee njaa ila wasituletee ujinga kama huuIwapo human rights ni kutetea 'mapunga' . Tutasimama naye....acha wampige ban.... .. Marekani kitu gani?
brother ukimuona jirani yako anampiga mtoto wako Kama mbwa mwizi mbele ya macho yako, Jua wazi kuwa anaetafutwa hapo ni wewe mkubwa mwenzie.Sidhani kama utakuwa uamuzi wa busara kwa mwenyekiti kujitenga na Makonda kwa sasa,Kujitenga na Makonda ni kukubaliana na mawazo ya wamarekani, Kuna vitu lazima ujifunze kuviangalia kwa macho ya tatu, Mwalimu wangu wa Physics alikuwa anasema jaribu kuwa nje ya mada na uwe mwangaliaji kwa mbali ndio utaona uhalisia,
Nakukumbusha,
Mwana Mfalme wa Saud alipoamua kwa makusudi na maslahi yake na kwa uwazi kabisa kumuua Mwandishi wa Habari aliyekuwa anaandikia CNN Jamal Khashogi, Turkey alikuwa kiranja kuionyesha US Kuwa Mwanamfalme ni mkosaji, na ushaidi upo, lakini US Iliziba masikio,umeshajiuliza kwanini?
Maslahi, Trump alimtetea mwanamfalme waziwazi, na pia Pompeo alitumwa Turkey na baadaye SAUDIA Kuhakikisha kwamba mambo yanakaa sawa, hatimaye ERDOGAN alisalimu amri! Unajua sababu?
Nini nafasi ya maslahi ya US na magharibi katika serikali ya awamu ya 5. Toka Rais ameapishwa hajakanyaga US wala EU na kwingineko, Je maslahi ya US na washirika wake yaliyoimarishwa awamu ya 4 yanarindwaje? Ikiwa Kiongozi aliyeko madarakani hana muda nao!!!
Je nani ni wamiliki wa makampuni ya ACACIA na BARICK? Nini hatima ya maslahi ya Mataifa ya nje?
Embu jiulize unamfungia mtu ambaye hana umuhimu wa kuja nchini kwako si ujinga huo.
Suala la Makonda halihitaji Muhemuko, wala Siasa za Kipumbavu, Sababu zilizoongelewa ni za Kishabiki zaidi.
Mwisho wake ndiyo huo hakuna namna ndugu lazima aondoke ktk hiyo nafasi au aondolewe na aliyemteua
Nimekusikia mnadhimu wa kambi kwa Job!comrade Fatuma mbona hivyo lakini?
hujui unatu embarrass wana CCM wenzio kwa majibu ya ki village village kama haya bana!
ImedhihirikaMagu hana ubavu wa kujitenga na Bashite
Jiwe nimepiga ndipo...Hakuna kitu kama hicho, hata nafasi yako inakusuta kwa unafiki! Toka lini ukawa mpinzani wa hii awamu? Au unataka watu waanze kuongea muwakamate?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,brother ukimuona jirani yako anampiga mtoto wako Kama mbwa mwizi mbele ya macho yako, Jua wazi kuwa anaetafutwa hapo ni wewe mkubwa mwenzie.
Hicho ndicho kinachofanyika, hayo ni maneno tu ya kidipromasia ni aibu ya kuwaambia wazee wa baraza hadharani Kuwa wako uchi.
Kama watashupaza Shingo ujue wazi mabeberu hawatakomea hapo, lao ni Moja si umewasikia marafiki wetu wa jadi waswiss, baadae watapiga Pigo la pamoja baadae EU na wengine watafuata.
Tunasema wana maslahi kwetu tumeyakata na sasa wanatuadhibu!
Huo ni upande mmoja, je upande wa pili nao tunauzingatia?Tunaupa uzito gani?Maana sisi watanzania tunalo tatizo la kutaka kuangalia upande tunao upenda!
Vipi kuhusu Lisu? Tumesahau kuwa sisi ndio tumemfanya aanze kutangatanga huko duniani?
Nani anajari kuhusu maumivu yake?
Sio sisi tuliosema ni msaliti na asulubiwe na kweli akasulubiwa na maadui zetu, Ili sisi tuonekane mbele ya macho ya umma tumemsulubisha na lengo la maadui zetu kutuchafua litimie.
Ni sawa tumeshindwa kuwajibika kidogo hatuekuenda mbali kutaka kumjua Adui wa Adui yetu, hivyo tukamrahisishia adui yetu kutupaka matope huko duniani.
Tukawa tunasikia ataongea na kamati za EU, bunge la marekani na kwingineko sisi tukasema acha azulule! na tena Sisi Kwa hasira tukasema acha tumtekelezee haki zake za kibinadamu,timua ubunge, kataa kumtibia kwa sababu hatukujua alikokuwa.
ee sisi ni nchi huru bwana hatuingiliwi kwani nini?
Hatukutaka hata kujua wasio julikana ni akina Nani ili mladi wanatusaidia kwa kiwango Fulani.
Sababu kuwa tunapuuza haki za watu kuishi ni uongo na kipuuzi?
Sababu kuwa tumeviza haki zetu za kidemokrasia ni uongo? Uhuru wa sisi kukutana uko sawa na wawenzetu kukutana?
Hawa ni marafiki wa kweli wanaposema tuko uchi tuchutame harafu tusubiri Kama watatuomba dhahabu.