Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

Wauza unga hua hawamwachi mtu anayewasaliti au mwanasiasa anayewapinga salama. Hii ndio kiapo chao. Wanaua wanatisha ili waogopwe.
Makonda kwa hakika waliapizana wamng'oe kwenye ukuu wa mkoa na kumdhuru au kuhakikisha wamemmaliza na bado inaelekea hawajakata tamaa kwa hiyo azma yao.
Wanajua mtu wa kumuondoa ni magufuli tu kwa hiyo wanazidi kumchongea na kumchonganisha. Hapa tunaona mwandishi huyu anajaribu kumtisha rais amtoe makonda. Mipango yote inasukwa na wauza unga na vyama vya mashoga wakiwashirikisha na kutumia vyama fulani vya upinzani.
 

Uko sahihi mzee
 
Anajitenganae vp wakati yy anatoa hayo maelekezo yafanyike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother wazee wetu walifanikiwa Sana kuliunganisha taifa hili, hadi tukaitwa kisiwa cha amani.
hebu jiulize tungali kisiwa cha amani? Na Kama bado tunakoenda tutaendelea kuwa kisiwa change amani?
Katibu mkuu CDM aliwahi Kukaa rumande huko kusini kwa wiki kadhaa kwa kosa la kufanya mkutano wa ndani kinyume na maagizo ya mkuu wa kaya hadi Leo baba wa watu anahudhuria kesi ndogo iliyodumu kwa miaka kadhaa bila kuhukumiwa, Ni ushahidi gani unatafutwa wakati alikamatwa akiwa kwenye kikao?
Je mwenezi wetu na Katibu mkuu wetu hawafanyi vikao mikoani? Nani kawashitaki au kuwanyima vibari? Kwa hiyo sheria inawahusu wale na hawa haiwahusu; huu so unyimi wa haki?
Kuhusu wasio julikana na wateka nyara hili unalijua, tatizo tunashindwa kuwabaini Hawa watu wanaositisha haki za watu kuishi najua unakumbuka kule baharini, beach zetu zilitapika wafu wote waliomezwa miaka dahari! tunashindwa kujitetea, tukatoa majibu lainiii!
Ujue mwizi akimwibia mlinzi,mtuhumiwa wa Kwanza ni mlinzi, hadi mlinzi atakapombainisha mwizi.
Wenzetu wameshaona tunakoenda siko wanataka kuturejesha kwenye njia sahihi, hata hao unaowajua wewe walianzia Huku huku.
 
unajua kuwa makundi hayo yote yanatengenezwa na marekani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tangia lini Sikio la Kufa likasikia Dawa? Mnapoteza bure muda wenu huyo Makonda atamaliza nae Awamu yake hii ya Kwanza ili amlinde na kabla akipita tena kwa Awamu ya Pili atamteua kuwa Balozi ambako ndiko itakuwa hatima yake. Kwa sasa anakuna Kichwa jinsi ya Kumlinda na Kumuokoa ila hatomuondoa sasa hivi na nawashaurini tu acheni Kupoteza muda Wenu juu ya hili tafadhalini. Mtu ambaye ana 99% ya Uozo wako wote Kiutendaji, Kiutawala hadi Kijamii na mengineyo Wewe ndiyo ulikuwa ukimtuma huwezi Kumuondoa au Kumtupa Kizembe Kizembe hivyo na kama ukitaka njia ya haraka kukata Mzizi wa Fitna basi ni Kumuwahisha tu Mavumbini ( Udongoni ) kabla ya ule muda aliopangiwa na Mwenyezi Mungu kupitia Wakala wake Mkuu Israeli. Siyo rahisi kama ambavyo wengi Wetu tunadhani.
 
Ninaona awamu hii kila mtu amemchoka mheshimiwa. 😁😁
 
Daaah vilaza bado mnakomaa na kauli ya Marekani sio mbinguni,hapa twapaswa kiangalia sababu za kupigwa hiyo ban,shwain!


Na hakuna kauli ninayomdharau nayo mtu kwa kusema Marekani sio Mbinguni nachukia na kumdharau haswa
 
Ngumu mno kutenganisha nyama na nhozi4
Jr[emoji769]
 
Maskini mzee wetu umeandika kwa unyonge, unawakilisha hali halisi iliyopo hapo Lumumba kwa sasa, kumbukeni hiyo ni sindano moja tu ya muamerika, mkileta ujuaji anaweka ya pili! sijui mtakuwa kwenye hali gani!

Nilidhani kaishia kupiga wazee makofi, kumbe kaendeleza kipaji maradufu, sasa ni muuaji!.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaya zaidi wanasema wana ushahidi. Hawa wamarekani huu uchunguzi walioufanya lini? Inawezekana CIA ina operate Bongo kimya kimya, inakusanya data na kuzirusha kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo tukipewa misaada na Hao hao nguruwe tunachekelea kama juz kat tumepewa magari ya kijesh tunachekelea Who knows inside such misaada?
 
Vyombo vyetu vya ndani vinashughulika na CHADEMA tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo magumu kwa Makonda, serikali yetu,na raia wa nchi yetu.
Ban hiyo haikuja kwa bahati mbaya,its a calculated action.
Tukijifanya mbogo tu watakuja na vikwazo lukuki.
Tukiongeza makeke kuna hatari ya Marekani kuzilazimisha nchi rafiki kutususia.
Hizi sio habari njema ni majanga.
Lakini hata serikali ikimfukuza Makonda kazi,Marekani itakuja na sharti la Makonda kushtakiwa,hata akishtakiwa watakuja na sharti na tume huru.Hata serikali ikitimiza hilo watadai katiba mpya.Hata serikali ikikubali katiba mpya watadai serikali yetu haitendi haki n.k
Huyo ndio Marekani baba lao.
 
Lakini huwa wanawchukulia hatua, je hapa kwetu unaweza wagusa watu wasiojulikana?
 
QUOTE="Dystonia7, post: 34255806, member: 567039"]C

CIA wapo kila mahali na unawajua wamarekani wana maagent wao kila sehemu.[/QUOTE]

Kuna watu ni double agent unakuta yupo TISS alafu CIA dunia hii ni zaidi uijuavyo Hata Rais wa Tanzania haijui Tanzania [emoji1241]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…