Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Kamuua Ben Saanane na alitaka kumuua Tundu LissuHuyo Makonda kamuua nani bwashee?!......... Usikaririshwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuua Ben Saanane na alitaka kumuua Tundu LissuHuyo Makonda kamuua nani bwashee?!......... Usikaririshwe.
Wauza unga hua hawamwachi mtu anayewasaliti au mwanasiasa anayewapinga salama. Hii ndio kiapo chao. Wanaua wanatisha ili waogopwe.Marekani imesema: Makonda ni mkandamizaji wa haki za kibinaadamu ikiwemo haki ya kuishi (kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa anahusika na mauaji ya raia); haki ya kidemokrasia na nyinginezo. Anapaswa kuwekwa kando haraka!
Marekani imetega mtego usio na magego. Mtego mkali. Mtego wao unaanzia kwenye swali la kiudadisi: Makonda amefikiaje kukandamiza haki za kibinaadamu hadi kupigwa marufuku ya kuingia Marekani akiwa amezungukwa na wakuu wake(ukiwemo Mwenyekiti wangu) waliopaswa kumdhibiti?
Marekani imeamua kukusaidia kujitenga na Makonda. Marekani imekutega Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli. Imekusaidia na kukupa nafasi adhimu. Jitenge na Makonda kabla ya mambo mrama kwenda!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Marekani imesema: Makonda ni mkandamizaji wa haki za kibinaadamu ikiwemo haki ya kuishi (kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa anahusika na mauaji ya raia); haki ya kidemokrasia na nyinginezo. Anapaswa kuwekwa kando haraka!

hahahaaaa +Nimekusikia mnadhimu wa kambi kwa Job!
Anajitenganae vp wakati yy anatoa hayo maelekezo yafanyikeMarekani imesema: Makonda ni mkandamizaji wa haki za kibinaadamu ikiwemo haki ya kuishi (kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa anahusika na mauaji ya raia); haki ya kidemokrasia na nyinginezo. Anapaswa kuwekwa kando haraka!
Marekani imetega mtego usio na magego. Mtego mkali. Mtego wao unaanzia kwenye swali la kiudadisi: Makonda amefikiaje kukandamiza haki za kibinaadamu hadi kupigwa marufuku ya kuingia Marekani akiwa amezungukwa na wakuu wake(ukiwemo Mwenyekiti wangu) waliopaswa kumdhibiti?
Marekani imeamua kukusaidia kujitenga na Makonda. Marekani imekutega Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli. Imekusaidia na kukupa nafasi adhimu. Jitenge na Makonda kabla ya mambo mrama kwenda!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Brother wazee wetu walifanikiwa Sana kuliunganisha taifa hili, hadi tukaitwa kisiwa cha amani.Mkuu,
Mengi umeyaongelea ni sawa kabisa, Tanzania ina watu wangapi? kwa mujibu wako wewe watu wangapi wamenyima haki zao za kuishi naomba uwaorodheshe hapa kwa takwimu sahihi ulizonazo na zinazoeleweka, na ukiweza kwa majina.
Uhuru wa kukutana? Wewe kama wewe umefanya vikao gani umenyimwa?
Demokrasia ya Afrika imebadilika lini?
Nijibu haya Kwanza.
Magaidi ujifichia kwa wanawake na watoto ili kupata cover ili dunia ipone inabidi hata wasio na hatia wajitoe sadaka bila hivo dunia ingetawaliwa na ISIS,Alqaeda,Mujahidin,alshabab,boko.
Ningekuwa trump hawa madikteta,wababe wa kivita,makundi ya kigaidi,vikundi vya waasi,wajamaa ningewasafirisha waondoke duniani hawa ndio wanaoisumbua dunia wangechezea drones wapotelee mbali,haiwezekani watu wachache waliokosa malezi bora utotoni waachwe waiharibu dunia hivihivi.Check dunia inavoingia gharama za kuwahudumia wakimbizi sababu ya ujinga Wa wachache hizo Pesa si zingeenda kwenye mengine ya kuisaidia dunia
Marekani imesema: Makonda ni mkandamizaji wa haki za kibinaadamu ikiwemo haki ya kuishi (kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa anahusika na mauaji ya raia); haki ya kidemokrasia na nyinginezo. Anapaswa kuwekwa kando haraka!
Marekani imetega mtego usio na magego. Mtego mkali. Mtego wao unaanzia kwenye swali la kiudadisi: Makonda amefikiaje kukandamiza haki za kibinaadamu hadi kupigwa marufuku ya kuingia Marekani akiwa amezungukwa na wakuu wake(ukiwemo Mwenyekiti wangu) waliopaswa kumdhibiti?
Marekani imeamua kukusaidia kujitenga na Makonda. Marekani imekutega Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli. Imekusaidia na kukupa nafasi adhimu. Jitenge na Makonda kabla ya mambo mrama kwenda!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Daaah vilaza bado mnakomaa na kauli ya Marekani sio mbinguni,hapa twapaswa kiangalia sababu za kupigwa hiyo ban,shwain!
Marekani imesema: Makonda ni mkandamizaji wa haki za kibinaadamu ikiwemo haki ya kuishi (kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa anahusika na mauaji ya raia); haki ya kidemokrasia na nyinginezo. Anapaswa kuwekwa kando haraka!
Marekani imetega mtego usio na magego. Mtego mkali. Mtego wao unaanzia kwenye swali la kiudadisi: Makonda amefikiaje kukandamiza haki za kibinaadamu hadi kupigwa marufuku ya kuingia Marekani akiwa amezungukwa na wakuu wake(ukiwemo Mwenyekiti wangu) waliopaswa kumdhibiti?
Marekani imeamua kukusaidia kujitenga na Makonda. Marekani imekutega Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli. Imekusaidia na kukupa nafasi adhimu. Jitenge na Makonda kabla ya mambo mrama kwenda!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ilo swali kawaulize Zimbabwe na nchi zote zilizowekewa vikwazo vya kiuchumi na marekaniKwani Marekani ni mbinguni ambako wanaoingia ni watakatifu pekee?
Akipata 0714 huwa kapoaa!Magu ni mkali kwako tu.
Bongo tukipewa misaada na Hao hao nguruwe tunachekelea kama juz kat tumepewa magari ya kijesh tunachekelea Who knows inside such misaada?Ubaya zaidi wanasema wana ushahidi. Hawa wamarekani huu uchunguzi walioufanya lini? Inawezekana CIA ina operate Bongo kimya kimya, inakusanya data na kuzirusha kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikitiko langu kubwa ni tuhuma aliooredheshewa ya kudhulumu uhai wa watu kadhaa (kukatisha uhai wa watu kabla ya wakati wao). Hili ni jambo ambalo serikali inapaswa ilitolee maelezo ni kwa namna gani vyombo vya usalama vya nje vifahamu pasipo na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini huwa wanawchukulia hatua, je hapa kwetu unaweza wagusa watu wasiojulikana?Hivi Marekani inalinda haki za binadamu kweli? Mbona kila kukicha unasikia katika vyombo vya habari mtu kafyatulia risasi wanafunzi, watu wailo katika club au supermarket! Mara Police wamemuua raia! Huo ndo utaratibu wa kulinda haki za binadamu kwa Wamerekani?