Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

kidyama,
Tatizo siyo makonda,tatizo na janga kuu la nchi yetu ni Magufuli na ccm
 
Sikitiko langu kubwa ni tuhuma aliooredheshewa ya kudhulumu uhai wa watu kadhaa (kukatisha uhai wa watu kabla ya wakati wao). Hili ni jambo ambalo serikali inapaswa ilitolee maelezo ni kwa namna gani vyombo vya usalama vya nje vifahamu pasipo na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna nchi yenye mamlaka kamili isiyo juwa usalama wa wananchi wake, ispokuwa kinacholeta utata ni malengo na maslahi ya wachache wenye kutumia nafasi zao kwa maslahi yao binafsi.
 
Hahaha imuondoe DAB impeleke wapi na hapo alipo ndio anapostahili kuwa ili kukamilisha michezo yote.
 
Hahaha kama ipi hiyo force information?!

mkuu sijasema force nimesema false, tuanze kutofautisha haya kwanza,

false= za/ya uongo
force= nguvu

Mfano mzuri ni upuuz alofanya lugola si mkuu alikuwa anajua mambo yapo poa na lugola alijiaminisha mpaka bungen atavua nguo kama hakuna ubadhifu kwenye sare za police haya umeona six months later kilichotokea ? KAUMBUKA, ila sasa KAUMBUKA NA MADHARA YASHATOKEA, sasaiv tunajaribu kurecover 🤣🤣🤣



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Baada ya tangazo la Serikali ya Marekani kumzuia Makonda na familia yake kupata visa ya Marekani Kuna uwezekana mkubwa huo ndiyo ukawa mwisho wa Makonda kisiasa.

Tangazo hilo halijatoa Picha nzuri kwa uongozi wa awamu ya tano na ili kurudisha heshima na mahusiano hayo tena ni Makonda kuondolewa katika nafasi ya Mkuu wa mkoa haraka Sana.

Wamerakani watakawa wametuma makachero wao ndani ya nchi Kama majasusi bila tz kujua na uwezekano wamekuja Kama watalii na kukusanya habari nyingi Sana za ndani ya mifumo ya Serikali.

Ni wakati umefika RC aondoke haraka katika nafasi hiyo.

Ni aibu kubwa sana kwa nchi kwa tangazo hilo.
 
Duh


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
tatum,
Hii ni moja ya vile vishindo vya awamu ya tano. Haikuwahi kutokea.
 
Tutajibu mashambuliz
IMG_20200201_190550.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatum,
Yule bwana flani kule instagram alias mfalme wa mitandao naona anaendesha kampeni ya kupost utumbo utumbo akidhani watu hawajui uhalisia🤣🤣
 
Back
Top Bottom