LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kabudi atamdanganya magu wamtimue balozi Wa marekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna nchi yenye mamlaka kamili isiyo juwa usalama wa wananchi wake, ispokuwa kinacholeta utata ni malengo na maslahi ya wachache wenye kutumia nafasi zao kwa maslahi yao binafsi.Sikitiko langu kubwa ni tuhuma aliooredheshewa ya kudhulumu uhai wa watu kadhaa (kukatisha uhai wa watu kabla ya wakati wao). Hili ni jambo ambalo serikali inapaswa ilitolee maelezo ni kwa namna gani vyombo vya usalama vya nje vifahamu pasipo na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yahani walipoteua tu balozi wa kudumu.niliogopa nikajua mbele kunashida.kama mlizoea kumshambulia mama wa watu haya kaja dume pambaneni nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo ndio wata halalisha kile marekani wanacho kitafuta.Kabudi atamdanganya magu wamtimue balozi Wa marekani.
Hahaha kama ipi hiyo false information?!Kitu kibaya kuliko vyote watu wanamfeed magufuli na false information, daaah noma
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaha kama ipi hiyo force information?!
HahahahaMabeberu wameishagundua makonda ndio ndagu ya Jiwe