Serikali imwangalie Prof. Assad isimwache ateseke hivi. Huyu jamaa hayupo sawa

Anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika.

Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof miaka mitatu bado anaugua sana akiugulia ile nafasi. Sisi wengine tulishaondolewa makazini kwa vyeti fake n.k na maisha yakaendelea tu.

Wengine tuliondolewa sababu ya uwezo ila vyetu tulikuwa navyo tukasema tu aaargh sikuzaliwa niwe Mkurugenzi au Katibu xxxxx.

Soma pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Kwa Prof Assad. Imekuwa tofauti. Bado analalamika. Serikali iingilie kati. Imsaidie akae sawa kihisia na kiakili. Ni wazi hili suala lilimuathiri sana. Asiachwe peke yake. Na kama ana madai Samia mlipe Prof apumzike. Pia apewe mtaalamu wa saikolojia amwambie haya ni maisha tu . Kwani

KUKATIA KWA MPINI SI MWISHO WA KULIMA. asiumie bado ana maisha na anaweza pewa cheo kingine. Kumfariji asiachwe hivi hivi please. Afya ya akili is real.
Katiba inasemaje?
 
Nilikuwa namheshimu huyu prof. Lakini baada ya kuongobutumbo akiunga mkono bandari iuzwe kwa dp world kisa ni regime yawaislamu wenzie nilimdharau sana
 
Anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika.

Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof miaka mitatu bado anaugua sana akiugulia ile nafasi. Sisi wengine tulishaondolewa makazini kwa vyeti fake n.k na maisha yakaendelea tu.

Wengine tuliondolewa sababu ya uwezo ila vyetu tulikuwa navyo tukasema tu aaargh sikuzaliwa niwe Mkurugenzi au Katibu xxxxx.

Soma pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Kwa Prof Assad. Imekuwa tofauti. Bado analalamika. Serikali iingilie kati. Imsaidie akae sawa kihisia na kiakili. Ni wazi hili suala lilimuathiri sana. Asiachwe peke yake. Na kama ana madai Samia mlipe Prof apumzike. Pia apewe mtaalamu wa saikolojia amwambie haya ni maisha tu . Kwani

KUKATIA KWA MPINI SI MWISHO WA KULIMA. asiumie bado ana maisha na anaweza pewa cheo kingine. Kumfariji asiachwe hivi hivi please. Afya ya akili is real.
Aliyemtuma akaropoke mambo ya jikoni kule USA ni nani? Abebe msalaba wake.
 
Wewe na asa

D nani anateseka? Wewe bila Shaka ni sukuma gang
 
Hivi
Tatizo la watu wengi wakiwa kazini wanasahau baada ya kazi maisha yanaendelea. Yaani mtu nje ya makaratasi na kalamu hakuna unachokijua kingine. Kazi ikitamatika ndo matokeo yake hayo sasa. Kulialia. Wachukuage mfano wa mizengo pinda.
Wewe unamjua Asad unahisi Asad ni kama baba yako ambae mpaka leo anafanya kazi kwa wahindi?
 
Miaka 58 bado unalilia ajira za serikali? Ndio maana wasomi wengi hawana mafanikio , msomi kufanikiwa lazima aibe, ulionewa ulionewa, yeye hawezi kujiongeza akafungua hata kampuni akaajiri watu wengine?
 
Hivi

Wewe unamjua Asad unahisi Asad ni kama baba yako ambae mpaka leo anafanya kazi kwa wahindi?
Kwakuwa baba yako anafanyakazi kwa wahindi haimaanishi baba wa kila mtu ni mfanyakazi wa wahindi.
Baba yangu ni mkulima. Hajawahi kumtetemekea mtu ampe au ambakishe kwenye cheo. Namfaham Asad kama profesa aliyekuwa CAG, Kisha akastafishwa na tangu hapo amekuwa ni wa kulialia kwenye interview. Kama kuna kingine naweza kukijua kumhusu naomba unishirikishe ndugu.
 
Prof tatizo lake kubwa ni fundamentalist, yaani anachokiamini huwezi mbadilisha, hakufaa kuwa kiongozi. Naamini hata vetting ilikuwa mbaya ila nadhani Dkt Kikwete atakuwa alilazimisha
 
Kwa hiyo unamaanisha wengi hatupendi watu walionyooka ?
 
Alisema yupo kijijini analima bamia ila naona mambo Bado magumu si Kwa malalamiko aliyonayo
 
Anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika.

Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof miaka mitatu bado anaugua sana akiugulia ile nafasi. Sisi wengine tulishaondolewa makazini kwa vyeti fake n.k na maisha yakaendelea tu.

Wengine tuliondolewa sababu ya uwezo ila vyetu tulikuwa navyo tukasema tu aaargh sikuzaliwa niwe Mkurugenzi au Katibu xxxxx.

Soma pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Kwa Prof Assad. Imekuwa tofauti. Bado analalamika. Serikali iingilie kati. Imsaidie akae sawa kihisia na kiakili. Ni wazi hili suala lilimuathiri sana. Asiachwe peke yake. Na kama ana madai Samia mlipe Prof apumzike. Pia apewe mtaalamu wa saikolojia amwambie haya ni maisha tu . Kwani

KUKATIA KWA MPINI SI MWISHO WA KULIMA. asiumie bado ana maisha na anaweza pewa cheo kingine. Kumfariji asiachwe hivi hivi please. Afya ya akili is real.
You're just another in the race
 
Back
Top Bottom