Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Dictionary ya simu mkuu.Wewe Mwehu jaribu kuandika vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dictionary ya simu mkuu.Wewe Mwehu jaribu kuandika vizuri.
Beira...Mzee salamaleko
KwishaaaaaaaaaKatiba ibara ya 144 (6)
"Mtu ambaye ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu au
aliyepata kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu hawezi
kuteuliwa kushika au kushikilia madaraka ya kazi nyingine
yoyote katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano."
Ndio maana tunahitaji Katiba Mpya.Katiba ibara ya 144 (6)
"Mtu ambaye ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu au
aliyepata kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu hawezi
kuteuliwa kushika au kushikilia madaraka ya kazi nyingine
yoyote katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano."
Hana huo mpango wa kurudi kua CAG, ila anataka mahakama iweke on record kua kuondokewa kwako was unconstituitional ili serikali zijifunze next time, wasifanye vitu vya kipumbavu kama hivo.kitu ambacho nashindwa kumuelewa huyo mkubwa mtoto, kwa nini raisi Samia asimrudishie hicho cheo kama kweli alionewa? raisi Samia akiamua ni fasta tu anarudia u cag nini kinazuia? ni muislamu mwenzake, yeye mkubwa mtoto anamsapoti raisi Samia 100%, sasa shida iko wapi kurudishiwa hicho kama anafikiri kiliundwa kwa ajili yake?
Tunamshukuru Mungu kwa kila jambo. Tunapolalamika kwa jambo lolote maana yake tunamlaumu Mungu.Siyo kweli. Alilia kwa kumbukumbu ya marehemu mke wake siyo kwa sababu ya u-CAG. Angalia vizuri hiyo video. Labda kama unarejerea jambo lingine.
Anhaa si unajua hizi lugha ni ngeni mzee wanguBeira...
"Asalaam Aleikum."
Jibu ni "Waleikum Salaam."
Beira...Anhaa si unajua hizi lugha ni ngeni mzee wangu
Kwema lakin mzee
Mzee said Tanganyika na Zanzibar yalikuwa mataifa na kiislam hawa wakristo wa leo waliomo kwenye hayo mataifa ambao wanaonekana ndo wengi zaid ya waislam except Zanzibar walitokea wapiBeira...
"Asalaam Aleikum."
Jibu ni "Waleikum Salaam."
Mwambie Assad hiviiii akila na kipofu asimshike mkonoKomeo...
Assad hatokwi machozi kwa kuondolewa madarakani.
Sikiliza vizuri mahojiano.
Afya ya Akili is real na KARMA IS REALAnahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika.
Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof miaka mitatu bado anaugua sana akiugulia ile nafasi. Sisi wengine tulishaondolewa makazini kwa vyeti fake n.k na maisha yakaendelea tu.
Wengine tuliondolewa sababu ya uwezo ila vyetu tulikuwa navyo tukasema tu aaargh sikuzaliwa niwe Mkurugenzi au Katibu xxxxx.
Soma pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa Prof Assad. Imekuwa tofauti. Bado analalamika. Serikali iingilie kati. Imsaidie akae sawa kihisia na kiakili. Ni wazi hili suala lilimuathiri sana. Asiachwe peke yake. Na kama ana madai Samia mlipe Prof apumzike. Pia apewe mtaalamu wa saikolojia amwambie haya ni maisha tu . Kwani
KUKATIA KWA MPINI SI MWISHO WA KULIMA. asiumie bado ana maisha na anaweza pewa cheo kingine. Kumfariji asiachwe hivi hivi please. Afya ya akili is real.
Afya ya Akili is real na KARMA IS REAL
Watu huko Chamani wana tabia ya kuharibia wenzao reputation zao ukitofautiana nao kwa hoja 🙄
You never know what happened to Profesa behind the scenes !
MUNGU ANAWAONA
NA MARADHI YATAENDELEA KUWATAFUNA WAHUSIKA WOTE WA UDHALILISHAJI 🙌🙏🙏
Kuna uwezekano huyu Mnafiki Assad nae alisherekea kifo cha Magufuli hajui kuwa ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji!Sikweli unayonena,alitoa mchozi juu yakifo chamkewake kwamba mkewake sikuhiyo kama angekuwepo nyumbani asingefariki sababu walishamjulia chakufanya akizidiwa
Mnafiki huyo! Anaweza mnamwona analilia juu ya kifo cha mke wake kumbe anamachungu ya UCAG wa JPM!Komeo...
Assad hatokwi machozi kwa kuondolewa madarakani.
Sikiliza vizuri mahojiano.
Huyu Mzee ni mjinga sana! Ama kweli Uislam na Unafiki ni pete na kidole!Mzee salamaleko