Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Beira...Mzee said Tanganyika na Zanzibar yalikuwa mataifa na kiislam hawa wakristo wa leo waliomo kwenye hayo mataifa ambao wanaonekana ndo wengi zaid ya waislam except Zanzibar walitokea wapi
Wanaonekana ndiyo wengi kwa kigezo gani?
Ikiwa kigezo ni kuhodhi fursa zilizopo nchini kama madaraka serikalini, wingi katika vyuo nk. wao wako mbali sana kwani uwiano ni 20:80.
Tanganyika haina sifa ya kuitwa taifa la Kiislam kama ilivyo Zanzibar.
Zanzibar Waislam ni wengi sana na hili halina shaka.
Lakini ukitaka kujua wingi wa jamii yoyote katika nchi unaweza kutumia kigezo hiki.
Ikiwa nchi ilitawaliwa angalia ni jamii gani iliyoongoza kwa wingi wao katika ukombozi wa taifa lao.
Siku zote ulimwenguni kote walio wengi ndiyo wanaoongoza ukombozi na wengine wanafuatia nyuma.
Hii ndiyo sheria kuu ya ukombozi.