Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Wazee wa Magomeni waswahiliswahili sana hata kama ni wasomi.Mfano ni huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mpumbavu na hakustahili kupewa hiyo nafasi!Wazee wa Magomeni waswahiliswahili sana hata kama ni wasomi.Mfano ni huu.
Wewe na Asad nani hata akili we zero brain 🧠 hata degree 1 huna!!Hana akili mwanaume kulialia ni uzuzu
Mimi au wadau wangependa kujua ripoti zake wakati yeye ni siagi, kabla ya awamu ya tano, ziliongelea vipi miradi ya nhc na ya nssf .Huyu mwamba tangu kipindi anakuja darasani kaning'iniza flash disks kibao shingoni utasema mmachinga vile, simu anapokelea darasani afu anaaga muda huohuo na kipindi ndio kimeisha hivo bila kufundisha.....mwenyez mungu amsimamie lakn jamaa hana baya na mtu
Asante mzee Said kwa Marekebisho hovyo >>ovyo....Mumbai...
"Hovyo" au "Ovyo?"
Lugha kali zinazodhihirisha chuki na hasa.
Katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam nakuhakikishia hakuna kuanzia VC hadi ngazi ya mwisho anaeweza kumwita Prof. Assad mtu wa ovyo.
Wewe una ujasiri huo.
Nimeandika fikra zangu katika post yangu # 133.
Naona inakwepwa wachangiaji wanaendelea kuandika kejeli na kashfa dhidi ya Prof. Mussa Assad.
Toka mwanzo imechukuliwa "wrong premise" kuwa Prof. Assad analia kuililia kazi aliyokuwanayo.
Kutokana na hilo ndilo haya yote yanafuatia.
Lakini hata pale inapokumbushwa kuwa hilo silo inaelekea hamtaki kusikiliza.
Mjadala wa aina hii hauna maana.
Tieni maanani kuwa ipo hukumu ya mahkama.
Prof. kashinda kesi.
Au tuchukulie mahkama imekosea?
Nasikitika kumuona mwalimu wangu wa chuo nguli kabisa akiweweka nimelia sana ,angeacha yapite uAnahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika.
Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof miaka mitatu bado anaugua sana akiugulia ile nafasi. Sisi wengine tulishaondolewa makazini kwa vyeti fake n.k na maisha yakaendelea tu.
Wengine tuliondolewa sababu ya uwezo ila vyetu tulikuwa navyo tukasema tu aaargh sikuzaliwa niwe Mkurugenzi au Katibu xxxxx.
Soma pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa Prof Assad. Imekuwa tofauti. Bado analalamika. Serikali iingilie kati. Imsaidie akae sawa kihisia na kiakili. Ni wazi hili suala lilimuathiri sana. Asiachwe peke yake. Na kama ana madai Samia mlipe Prof apumzike. Pia apewe mtaalamu wa saikolojia amwambie haya ni maisha tu . Kwani
KUKATIA KWA MPINI SI MWISHO WA KULIMA. asiumie bado ana maisha na anaweza pewa cheo kingine. Kumfariji asiachwe hivi hivi please. Afya ya akili is real.
Wabongo tunapenda sana kupindisha habari, hili ni tatizo lipo miongoni mwetu.Anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika.
Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof miaka mitatu bado anaugua sana akiugulia ile nafasi. Sisi wengine tulishaondolewa makazini kwa vyeti fake n.k na maisha yakaendelea tu.
Wengine tuliondolewa sababu ya uwezo ila vyetu tulikuwa navyo tukasema tu aaargh sikuzaliwa niwe Mkurugenzi au Katibu xxxxx.
Soma pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa Prof Assad. Imekuwa tofauti. Bado analalamika. Serikali iingilie kati. Imsaidie akae sawa kihisia na kiakili. Ni wazi hili suala lilimuathiri sana. Asiachwe peke yake. Na kama ana madai Samia mlipe Prof apumzike. Pia apewe mtaalamu wa saikolojia amwambie haya ni maisha tu . Kwani
KUKATIA KWA MPINI SI MWISHO WA KULIMA. asiumie bado ana maisha na anaweza pewa cheo kingine. Kumfariji asiachwe hivi hivi please. Afya ya akili is real.
Wabongo tunao upuuzi wa kupenda kutunga habari zetu wenyewe ambazo hazifanani na uhalisia wa kile kinachozungumzwa.Sikweli unayonena,alitoa mchozi juu yakifo chamkewake kwamba mkewake sikuhiyo kama angekuwepo nyumbani asingefariki sababu walishamjulia chakufanya akizidiwa
Ndg fuatilia ,Assad alijiajiri toka alipopata cpa (t) na akiwa na degree moja tu .Prof. Assad Sasa zamu yake kwenda kujiajiri.
Mh.Samia mlipe stahiki zake Prof Assad akajiajiri.
Siku nyingine ajifunze ukichagua kusimamia unacho amini hata kama ikibidi upishane na boss wako ukubali matokeo yake. Ukubali kuteseka sababu ya itikadi zako, na matokeo ya maamuzi yako.
Ukijiona wewe mlaini basi huna budi kufuata matakwa ya boss wako.
Kuna kiongozi alisema Katiba ni kijitabu tu, hivyo Assad alikosea kuitegemea Katiba pekee.
Naona kama kuna mahali unapotosha mtoa maada.Alisema issue inayomuumiza ni kifo cha mke wake kipenzi.Hayo mengine unaongezea wewe.Si dhani kama Prof.Asad ni wa hivyo.angelikuwa ni muoga wa maisha angeendeleza uchawa kama wanavyofanya wengine.binafsi nampenda huyu prof.kwa jinsi anavyoyachukulia maisha na kulinda uhuru wake binafsi na wakitaaluma.Hii inanifanya niaziamini kaguzi zake zaidi kuliko za Ma CAG wengine wote .Inaonekana ni kati ya watu wasiohofia wanadamu ila wanahofu ya Mungu wake.Hata hii interview inaonyesha ni mtu huru.Anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika.
Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof miaka mitatu bado anaugua sana akiugulia ile nafasi. Sisi wengine tulishaondolewa makazini kwa vyeti fake n.k na maisha yakaendelea tu.
Wengine tuliondolewa sababu ya uwezo ila vyetu tulikuwa navyo tukasema tu aaargh sikuzaliwa niwe Mkurugenzi au Katibu xxxxx.
Soma pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa Prof Assad. Imekuwa tofauti. Bado analalamika. Serikali iingilie kati. Imsaidie akae sawa kihisia na kiakili. Ni wazi hili suala lilimuathiri sana. Asiachwe peke yake. Na kama ana madai Samia mlipe Prof apumzike. Pia apewe mtaalamu wa saikolojia amwambie haya ni maisha tu . Kwani
KUKATIA KWA MPINI SI MWISHO WA KULIMA. asiumie bado ana maisha na anaweza pewa cheo kingine. Kumfariji asiachwe hivi hivi please. Afya ya akili is real.
wanakosea sana.Kabisa na mioyo migumu ya kutosamehe. Hata mkristo asiyesamehe mbinguni haendi, kilasiku wamekalia Magufuli Magufuli utafikiri wenyewe hawajawahi kukosea
Kesi ilihusu Nini Mzee wangu?Mumbai...
"Hovyo" au "Ovyo?"
Lugha kali zinazodhihirisha chuki na hasa.
Katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam nakuhakikishia hakuna kuanzia VC hadi ngazi ya mwisho anaeweza kumwita Prof. Assad mtu wa ovyo.
Wewe una ujasiri huo.
Nimeandika fikra zangu katika post yangu # 133.
Naona inakwepwa wachangiaji wanaendelea kuandika kejeli na kashfa dhidi ya Prof. Mussa Assad.
Toka mwanzo imechukuliwa "wrong premise" kuwa Prof. Assad analia kuililia kazi aliyokuwanayo.
Kutokana na hilo ndilo haya yote yanafuatia.
Lakini hata pale inapokumbushwa kuwa hilo silo inaelekea hamtaki kusikiliza.
Mjadala wa aina hii hauna maana.
Tieni maanani kuwa ipo hukumu ya mahkama.
Prof. kashinda kesi.
Au tuchukulie mahkama imekosea?
Kama ni hivyo, basi alistahili kuondolewa. Na asipewe cheo chochote kabisa.kabisa.Anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika.
Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof miaka mitatu bado anaugua sana akiugulia ile nafasi. Sisi wengine tulishaondolewa makazini kwa vyeti fake n.k na maisha yakaendelea tu.
Wengine tuliondolewa sababu ya uwezo ila vyetu tulikuwa navyo tukasema tu aaargh sikuzaliwa niwe Mkurugenzi au Katibu xxxxx.
Soma pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa Prof Assad. Imekuwa tofauti. Bado analalamika. Serikali iingilie kati. Imsaidie akae sawa kihisia na kiakili. Ni wazi hili suala lilimuathiri sana. Asiachwe peke yake. Na kama ana madai Samia mlipe Prof apumzike. Pia apewe mtaalamu wa saikolojia amwambie haya ni maisha tu . Kwani
KUKATIA KWA MPINI SI MWISHO WA KULIMA. asiumie bado ana maisha na anaweza pewa cheo kingine. Kumfariji asiachwe hivi hivi please. Afya ya akili is real.
wewe ndio uko sahihiSikweli unayonena,alitoa mchozi juu yakifo chamkewake kwamba mkewake sikuhiyo kama angekuwepo nyumbani asingefariki sababu walishamjulia chakufanya akizidiwa
wewe ndio uko sahihi
nashangaa na Moderator haoni huu uzu kwamba hauko sawa
assad alitoa machozi sababu ya kumpoteza mkewake Dr Badria Bave na sio mambo ya ofisini
japokua katika mahojiano yale alioneshwa kuumizwa na utawala wa magufuli hata kutolewa kwake hakukua kwa njia nzuri
magufuli hakua rasmi Rais bora
aliharibu mengi na propaganda ndio ilikua inambeba tu
Yaani unataka serikali ihangaike na matatizo/tamaa ya mtu binafsi? Kwa nini hushauri familia imsaidie? Au unaamini yametokana na kuondolewa nafasi ya CAG?Anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika.
Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof miaka mitatu bado anaugua sana akiugulia ile nafasi. Sisi wengine tulishaondolewa makazini kwa vyeti fake n.k na maisha yakaendelea tu.
Wengine tuliondolewa sababu ya uwezo ila vyetu tulikuwa navyo tukasema tu aaargh sikuzaliwa niwe Mkurugenzi au Katibu xxxxx.
Soma pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa Prof Assad. Imekuwa tofauti. Bado analalamika. Serikali iingilie kati. Imsaidie akae sawa kihisia na kiakili. Ni wazi hili suala lilimuathiri sana. Asiachwe peke yake. Na kama ana madai Samia mlipe Prof apumzike. Pia apewe mtaalamu wa saikolojia amwambie haya ni maisha tu . Kwani
KUKATIKA KWA MPINI SI MWISHO WA KULIMA. asiumie bado ana maisha na anaweza pewa cheo kingine. Kumfariji asiachwe hivi hivi please. Afya ya akili is real.
Mleta Uzi huu mpuuzi na moderater wanautazama Uzi huWabongo tunao upuuzi wa kupenda kutunga habari zetu wenyewe ambazo hazifanani na uhalisia wa kile kinachozungumzwa.
Profesa alianza kutoa machozi baada ya Kikeke kuongelea hali yake ipo vipi baada ya kufiwa na mke wake.
Hawezi kulia kwa sababu ya kuondolewa kazini huyo ni msomi mkubwa sana. Hivi sasa yupo katika ile tume ya kupitia mifumo ya kodi iliyoundwa na Rais Samia miezi kama miezi miwili iliyopita.
Ni mkweli siku zote mwenye kusimamia misingi ya kazi anayoifanya.Naona kama kuna mahali unapotosha mtoa maada.Alisema issue inayomuumiza ni kifo cha mke wake kipenzi.Hayo mengine unaongezea wewe.Si dhani kama Prof.Asad ni wa hivyo.angelikuwa ni muoga wa maisha angeendeleza uchawa kama wanavyofanya wengine.binafsi nampenda huyu prof.kwa jinsi anavyoyachukulia maisha na kulinda uhuru wake binafsi na wakitaaluma.Hii inanifanya niaziamini kaguzi zake zaidi kuliko za Ma CAG wengine wote .Inaonekana ni kati ya watu wasiohofia wanadamu ila wanahofu ya Mungu wake.Hata hii interview inaonyesha ni mtu huru.