Serikali imwangalie Prof. Assad isimwache ateseke hivi. Huyu jamaa hayupo sawa

Wazee wa Magomeni waswahiliswahili sana hata kama ni wasomi.Mfano ni huu.
Huyu ni mpumbavu na hakustahili kupewa hiyo nafasi!
Mbona watu kibao wanapoteza nafasi zao kama Ndugai ulishamsikia anaongea popote?
Huyu Mswahili,Mnafiki na mwenye Roho mbaya asojitambua na kuna uwezekano mkubwa alikuwa anatumika kuhujumu serkali ya JPM!
 
Wewe na Asad nani anahitaji tiba ya akili unadhani?!! Bwana yule anafuatwa na waandishi yeye anawapa uhalisia wa uhuni uliokuwa unafanyika
 
Huyu mwamba tangu kipindi anakuja darasani kaning'iniza flash disks kibao shingoni utasema mmachinga vile, simu anapokelea darasani afu anaaga muda huohuo na kipindi ndio kimeisha hivo bila kufundisha.....mwenyez mungu amsimamie lakn jamaa hana baya na mtu
 
Mimi au wadau wangependa kujua ripoti zake wakati yeye ni siagi, kabla ya awamu ya tano, ziliongelea vipi miradi ya nhc na ya nssf .
 
Asante mzee Said kwa Marekebisho hovyo >>ovyo....

Hiyo hoja yako ya kushinda kesi sio ambayo imepostiwa humu...millio yake ndo tunaijadili.

Unajaribu kimsafisha na ushindi wa kesi,haina maana.mwaambie aache kulalama

Ni maprofesa wangapi wamenyang'anywa nafasi?mbona hatuwaskii wakishinda media kujiliza???

Hiyo heshima ya UDsm unayoizungumzia kwa milio yake nafikiri hadhi yake inakuwa sambamba na wale wa majalalani.
 
Nasikitika kumuona mwalimu wangu wa chuo nguli kabisa akiweweka nimelia sana ,angeacha yapite u
 
Wabongo tunapenda sana kupindisha habari, hili ni tatizo lipo miongoni mwetu.

Kilichomliza ni baada ya mwandishi wa habari Kikeke kuanza kuongelea kifo cha mkewe, kabla ya kuulizwa swali lile alikuwa anaongea kama kawaida tu.

Profesa Assad ni mjane na wajane wengi wanaume huwa wanaumizwa sana wanapoachwa na upweke wa kuondokewa na wake zao.
 
Sikweli unayonena,alitoa mchozi juu yakifo chamkewake kwamba mkewake sikuhiyo kama angekuwepo nyumbani asingefariki sababu walishamjulia chakufanya akizidiwa
Wabongo tunao upuuzi wa kupenda kutunga habari zetu wenyewe ambazo hazifanani na uhalisia wa kile kinachozungumzwa.

Profesa alianza kutoa machozi baada ya Kikeke kuongelea hali yake ipo vipi baada ya kufiwa na mke wake.

Hawezi kulia kwa sababu ya kuondolewa kazini huyo ni msomi mkubwa sana. Hivi sasa yupo katika ile tume ya kupitia mifumo ya kodi iliyoundwa na Rais Samia miezi kama miezi miwili iliyopita.
 
Ndg fuatilia ,Assad alijiajiri toka alipopata cpa (t) na akiwa na degree moja tu .
 
Naona kama kuna mahali unapotosha mtoa maada.Alisema issue inayomuumiza ni kifo cha mke wake kipenzi.Hayo mengine unaongezea wewe.Si dhani kama Prof.Asad ni wa hivyo.angelikuwa ni muoga wa maisha angeendeleza uchawa kama wanavyofanya wengine.binafsi nampenda huyu prof.kwa jinsi anavyoyachukulia maisha na kulinda uhuru wake binafsi na wakitaaluma.Hii inanifanya niaziamini kaguzi zake zaidi kuliko za Ma CAG wengine wote .Inaonekana ni kati ya watu wasiohofia wanadamu ila wanahofu ya Mungu wake.Hata hii interview inaonyesha ni mtu huru.
 
Kesi ilihusu Nini Mzee wangu?
 
Kama ni hivyo, basi alistahili kuondolewa. Na asipewe cheo chochote kabisa.kabisa.
 
Sikweli unayonena,alitoa mchozi juu yakifo chamkewake kwamba mkewake sikuhiyo kama angekuwepo nyumbani asingefariki sababu walishamjulia chakufanya akizidiwa
wewe ndio uko sahihi
nashangaa na Moderator haoni huu uzu kwamba hauko sawa

assad alitoa machozi sababu ya kumpoteza mkewake Dr Badria Bave na sio mambo ya ofisini

japokua katika mahojiano yale alioneshwa kuumizwa na utawala wa magufuli hata kutolewa kwake hakukua kwa njia nzuri

magufuli hakua rasmi Rais bora
aliharibu mengi na propaganda ndio ilikua inambeba tu
 

MIMI NAMCHUKIA SABABU YA SISI WENYE VYETI FAKE ALIVYOTUDHALILISHA. HILO KWA KWELI WENGI LILITUUMIZA SANA. ANYWAY TUMERUDI SASA. HILO TU NDO LILIKUWA TATIZO LA KUTUPIGA CHINI WENYE VYETI FAKE.
 
Yaani unataka serikali ihangaike na matatizo/tamaa ya mtu binafsi? Kwa nini hushauri familia imsaidie? Au unaamini yametokana na kuondolewa nafasi ya CAG?

Huyu alikuwa mwalimu UDSM, Kwa nini hakurudi UDSM akafundishe? Kwani alisoma ili awe CAG. Iweje leo akiondolewa iwe ni tatizo la miaka nenda?
 
Mleta Uzi huu mpuuzi na moderater wanautazama Uzi hu
 
Ni mkweli siku zote mwenye kusimamia misingi ya kazi anayoifanya.

Hayati JPM alimchukia kwa sababu hakutaka kuyumbishwa katika nafasi yake, aliheshimu miiko ya kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…