Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

Biashara kwa wajinga, kuna mtu kagundua kipimo cha iq kujua tuna shida gani ngoja kianze kutumika huenda tutajua ni utapiamlo au ugonjwa utasumbua, kufanya yaleyale for generations tukitegemea matokeo tofauti ni kipaji ati!
Kuna mdada huku mwamposa anaponya namchora tu namwambia mtaendelea kuwa wajinga mpka lini.
 
Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na weng
Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Huo ni woga tu na hisia mfu. Kwa hiyo bendera za mataifa yaliyoko Vitani hapa Tanzania haziendelei kupepea katika Ofizi na majumba ya maborozi wao? Kwa hiyo na Bendera ya Tanzania siendelee kupepea kwenye mataifa mengine kwa sasa ambako hali siyo shwari nyumbani. Kule Gaza watu wanatekana na kuuana ambacho ndicho chanzo cha hiyo vitaunayoisema, rejea events za October 7 2023 by HAMAS, ilikuwa ni utekeji na mauaji.
 
Acha chuki buana ....si anatumia kanisani kwake? sasa kama wewe si kanisa lako inakuuma nini?
Wambie na wale wasiowapenda wana wa Israel na wao wakapeperushe zile za HAMAS na Hezbollah, na za Al Qaeda na Houths na ISIS. Na tunajua supporters wao wapo wengi tu hapa kwetu wanaowashabikia , so ni uhuru wao .
 
Kama sanamu zpo makanisanisembuse hicho kitambaa.....
 
Back
Top Bottom