Master Arcade
JF-Expert Member
- Apr 21, 2021
- 404
- 658
Acha watapeliwe ...si wametaka wenyewe na ni uhuru wao. unadhani hizo pesa zao wanazoibiwa inapaswa ziwaume wao wanaotoa au wewe usiezitoa?Kinachotuuma ni kutumia kitambaa kuwatapeli wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha watapeliwe ...si wametaka wenyewe na ni uhuru wao. unadhani hizo pesa zao wanazoibiwa inapaswa ziwaume wao wanaotoa au wewe usiezitoa?Kinachotuuma ni kutumia kitambaa kuwatapeli wengine
Kwani bendera ya Taifa si ipo kule inapepea kwenye ubalozi wa Tanzania mjini TEL AVIV na soon tutauhamishia kule Mji Mtakatifu wa Jerusalem.Je Israeli nao wanatumia Bendera ya Tanzania? hio ni staili ya kuibia wajinga wa hili Taifa
Weka evidence hapa ili utusaidie tunaoamini tufunguke...Nina evidence nyingi wala sina shaka na ww unaamini anaponya yule tapeli? Yani uwe na kansa afu upone kwa maombi huwa nawachora wale mashuhuda wakopumbavu
Bendera ya sponsor wake , nakupa hii Leo sio Kwa gwajima zunguka makanisa yote utakapo Kuta bandera hiyo ujue mashirika toka Israel yanatoa fedha kufadhiri mengi ndani ya kanisaHaiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Kuna link za documentary ntakupa si za bpngo ila zonafanana na hawa fake pastors una hizo za afrika hapa hapa ukibisha basi una matatizo ushuhuda mwingine nshahudia mtt anaulemavu hawez tembea sasa ana mwaka na miez 3 kumbe miaka yote iyo wanaenda kwa mwamposa lakini ccbrt walithibitisha mtt alipozaliwa aliugua homa ya manjano utaona jinsi akili za kitx zilivyo zakpumbavuWeka evidence hapa ili utusaidie tunaoamini tufunguke...
Labda ni mwana wa IsraelHaiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Ninazo documentaries nyingi tu, natafuta ya Mwamposa ambayo nina uhakika wewe unayo. Na siwezi kutumia mifano mingine kumhukumu Mwamposa, kama ambavyo hutapenda tabia za mwingine zitumike kuku-define wewe.Kuna link za documentary ntakupa si za bpngo ila zonafanana na hawa fake pastors una hizo za afrika hapa hapa ukibisha basi una matatizo ushuhuda mwingine nshahudia mtt anaulemavu hawez tembea sasa ana mwaka na miez 3 kumbe miaka yote iyo wanaenda kwa mwamposa lakini ccbrt walithibitisha mtt alipozaliwa aliugua homa ya manjano utaona jinsi akili za kitx zilivyo zakpumbavu
Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Mwambie aweke za Magaidi wa Hezbula na Hamas, kwani amenyimwa?Sidhani kama bendera ya Israel zilizoko makanisani zinatumika kisiasa. Zinatumika kiimani zaidi.
Kafie mbaliHaiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Wayahudi si ndio maadui wa Yesu? si ndio walimtesa na kumsulubu? wayahudi hawaukubali ukristo hata kidogo,Wambie na wale wasiowapenda wana wa Israel na wao wakapeperushe zile za HAMAS na Hezbollah, na za Al Qaeda na Houths na ISIS. Na tunajua supporters wao wapo wengi tu hapa kwetu wanaowashabikia , so ni uhuru wao .
Serikali inasemaje kuhusu hilo maana wana ubalozi hapa?Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Tukiweka za Hamas makanisa hawatapiga kelele?Serikali inasemaje kuhusu hilo maana wana ubalozi hapa?
Bendera ni relics zile, just because unachukia israel haimaanishi wengine wanachukia . Na msimamo wa nchi si huo
Nmeona tu jna malaria bx hapo sna shaka dsh limeyumba hata atumie ya congo hata semeshwa mrad asvunje and aman ya nchHaiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Tatizo kwamba hivi sasa kuna vita kule. Na vijana wakitanzania washawahi kufa. Jee sio wakala wa kuwasafirisha?Nmeona tu jna malaria bx hapo sna shaka dsh limeyumba hata atumie ya congo hata semeshwa mrad asvunje and aman ya nch
umewaza kama gaidi kabisa. kwa kifupi, wakristo wote tunasapoti Israel na tunasapoti kwa anachokifanya, anajitetea kwa october 7, na tunawaombea. usifikiri kila mtu hapa anaswali kwa kuinama.Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
mbona tunawajua ninyi ni hamas na hezbollah hata msipoweka.Tukiweka za Hamas makanisa hawatapiga kelele?