Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

Uarabuni wanavyotymia bendera yetu tena vibaya mbona hujaliongelea? Au hujaona?
 
Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Kwako Hilo ndo suluhu ya matatizo ya Watanzania...!?
 
Ninazo documentaries nyingi tu, natafuta ya Mwamposa ambayo nina uhakika wewe unayo. Na siwezi kutumia mifano mingine kumhukumu Mwamposa, kama ambavyo hutapenda tabia za mwingine zitumike kuku-define wewe.

Kuhusu suala la mtoto kutotembea, je, waliishiaje kwa Mwamposa, alisema hawezi kumponya?
Suala la mtt kumponya halikuwezekani ila ccbrt alivyoenda mtt anasimama now
 
Waisrael wenyewe hawamwamini Yesu wala agano jipya analotumia Gwajikondooboy
 
Wambie na wale wasiowapenda wana wa Israel na wao wakapeperushe zile za HAMAS na Hezbollah, na za Al Qaeda na Houths na ISIS. Na tunajua supporters wao wapo wengi tu hapa kwetu wanaowashabikia , so ni uhuru wao .
Mbona umetaja bendera za vikundi badala ya bendera za nchi kama ilivyo Israel? Mtoa mada kasema na wengine wakipeperusha za Palestina itakuwaje?
 
Kuna baadhi ya makanisa wanaambiwa na watumishi wao "askofu, wachungaji, mitume, manabii na walimu" waiombee Israel inapopigana na Palestine.
 
Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Kwahiyo na mimi nikitundika bendera ya 🇸🇦 ni kosa.
 
Back
Top Bottom