Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

Wayahudi si ndio maadui wa Yesu? si ndio walimtesa na kumsulubu? wayahudi hawaukubali ukristo hata kidogo,
Sasa kuna uhusiano gani kati ya bendera ya Israel na Christianity?
mjahidina hautakuja kuelewa hata siku moja uhusiano huu. endeleeni na uongo mliokaririshwa na mood.
 
umewaza kama gaidi kabisa. kwa kifupi, wakristo wote tunasapoti Israel na tunasapoti kwa anachokifanya, anajitetea kwa october 7, na tunawaombea. usifikiri kila mtu hapa anachamba kwa kushika mavi.
Umesha sema kanisani kwake. Acha watu waabudu kwa kile wanacho kiamini. Na wewe chukua bendera ya Palestina kama unaamini itakufikisha Mbinguni weka nyumbani kwako.
 
Kuna yule nabii wa mwanza sijui anaitwa nani yule akasema anamleta Michael Jackson kanisani Kuna mchizi eti akawa amewekewa huo mzimu ndo akawa anasheki ana dance yule nabii sijui anawachukuliaje waumini wake😂🤣
 
Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
wewe utakuwa mzee wa makobasi,mbona kuna waislam wanavaa kama wataleban???,,,suruale za PUSHKIN,yaani wana vaa utafikiri wa2 wa mashariki ya mbali,,,alaf mbona wengine wanasali kwa kiarabu wakati wanajua kiswahili? haujui uko ni kudhalilisha taifa le2????na kuna wengine wanapandisha kabisa ile bendera nyeusi yenye upanga na maandishi inayo2miwa na islamic state!!!!......na wanawake wanavaa wanaacha macho tu kama iran,,kwanini wasivae rubega kama wamasai???
 
Back
Top Bottom