Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

Biashara kwa wajinga, kuna mtu kagundua kipimo cha iq kujua tuna shida gani ngoja kianze kutumika huenda tutajua ni utapiamlo au ugonjwa utasumbua, kufanya yaleyale for generations tukitegemea matokeo tofauti ni kipaji ati!
Kuna mdada huku mwamposa anaponya namchora tu namwambia mtaendelea kuwa wajinga mpka lini.
 
 
Acha chuki buana ....si anatumia kanisani kwake? sasa kama wewe si kanisa lako inakuuma nini?
Wambie na wale wasiowapenda wana wa Israel na wao wakapeperushe zile za HAMAS na Hezbollah, na za Al Qaeda na Houths na ISIS. Na tunajua supporters wao wapo wengi tu hapa kwetu wanaowashabikia , so ni uhuru wao .
 
Kama sanamu zpo makanisanisembuse hicho kitambaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…