Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
mjahidina hautakuja kuelewa hata siku moja uhusiano huu. endeleeni na uongo mliokaririshwa na mood.Wayahudi si ndio maadui wa Yesu? si ndio walimtesa na kumsulubu? wayahudi hawaukubali ukristo hata kidogo,
Sasa kuna uhusiano gani kati ya bendera ya Israel na Christianity?
sisi tuliookoka ni waisrael rohoni.Labda ni mwana wa Israel
Haponyi.Unaweza kuthibitisha kwamba Mwamposa haponyi?
Tukiweka za Palestina mtavumilia?mbona tunawajua ninyi ni hamas na hezbollah hata msipoweka.
Kama anaponywa aajiriwe MonchowariHaponyi.
Umesha sema kanisani kwake. Acha watu waabudu kwa kile wanacho kiamini. Na wewe chukua bendera ya Palestina kama unaamini itakufikisha Mbinguni weka nyumbani kwako.umewaza kama gaidi kabisa. kwa kifupi, wakristo wote tunasapoti Israel na tunasapoti kwa anachokifanya, anajitetea kwa october 7, na tunawaombea. usifikiri kila mtu hapa anachamba kwa kushika mavi.
Well hamas si nchi, si taifa. Hakuna ubalozi wa chama dunianiTukiweka za Hamas makanisa hawatapiga kelele?
Wewe kafiri jibu swali acha kujitongozesha kwangu,huna jibu kaa pembeni,usiniletee harufu ya kinyesi hapa.mjahidina hautakuja kuelewa hata siku moja uhusiano huu. endeleeni na uongo mliokaririshwa na mood.
Na wewe peperusha ya Al Qaeda au vipi?Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Tunazungumzia Isreal vs PalestinaNa wewe peperusha ya Al Qaeda au vipi?
Wewe wanakuhusu nini wacha wapasuane wenyewe huko.Tunazungumzia Isreal vs Palestina
Wekeni tu hayo ni matambara tu hayana madhara mkuu wangu.Tukiweka za Hamas makanisa hawatapiga kelele?
kama mikeka na makopo ya kutawaza yalivyojaa misikitiniKama sanamu zpo makanisanisembuse hicho kitambaa.....
Si mtumie bendera ya palestina kwenye misikiti yenu kwani mmekatazwa?Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Unawaza tu au walikupigia kelele?Tukiweka za Hamas makanisa hawatapiga kelele?
Hawajazuiwa kutumia.Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Unawezaje kuthibitisha?Haponyi.
wewe utakuwa mzee wa makobasi,mbona kuna waislam wanavaa kama wataleban???,,,suruale za PUSHKIN,yaani wana vaa utafikiri wa2 wa mashariki ya mbali,,,alaf mbona wengine wanasali kwa kiarabu wakati wanajua kiswahili? haujui uko ni kudhalilisha taifa le2????na kuna wengine wanapandisha kabisa ile bendera nyeusi yenye upanga na maandishi inayo2miwa na islamic state!!!!......na wanawake wanavaa wanaacha macho tu kama iran,,kwanini wasivae rubega kama wamasai???Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?