Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

Uarabuni wanavyotymia bendera yetu tena vibaya mbona hujaliongelea? Au hujaona?
 
Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Kwako Hilo ndo suluhu ya matatizo ya Watanzania...!?
 
Suala la mtt kumponya halikuwezekani ila ccbrt alivyoenda mtt anasimama now
 
Waisrael wenyewe hawamwamini Yesu wala agano jipya analotumia Gwajikondooboy
 
Wambie na wale wasiowapenda wana wa Israel na wao wakapeperushe zile za HAMAS na Hezbollah, na za Al Qaeda na Houths na ISIS. Na tunajua supporters wao wapo wengi tu hapa kwetu wanaowashabikia , so ni uhuru wao .
Mbona umetaja bendera za vikundi badala ya bendera za nchi kama ilivyo Israel? Mtoa mada kasema na wengine wakipeperusha za Palestina itakuwaje?
 
Kuna baadhi ya makanisa wanaambiwa na watumishi wao "askofu, wachungaji, mitume, manabii na walimu" waiombee Israel inapopigana na Palestine.
 
Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia.
Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
Kwahiyo na mimi nikitundika bendera ya 🇸🇦 ni kosa.
 
Malaria uliyonayo itakuwa imepanda sana🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…