dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Nimekatiza mitaa ya X nikakutana na taarifa ya mwana mazoezi jina simfahamu ila ni mtu maarufu kwenye mitandao ya kijamii kwa kuoneka kuwa na makalio makubwa na kufanyisha Watu mazoe ya kuongeza makalio
Sasa taarifa zilizopo zinaeleza kuwa ataingia nchini June 29 na sijajuwa atakuwepo hadi lini
Aina ya mazoezi yake ni yale ya kuongeza makalio
Naomba serekali izue vibali vyake kwa vile ujio wake uko kiupinde upinde sana
Nimelazimika kununua bando nilete hii taarifa huku tuijadili na kisha tuiazimie wote kwa pmj
Waziri @dr gwajima tunataka kauli yako haraka
Asante