Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Akina dada wenye mgongo BAPA, changamkieni fursa ya kuongeza makalio kwa njia salama ya mazoezi, badala ya ile njia ya kupaka kemikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkuu.WaTz jau sana mkuu, watu wana chuki za kiwaki sana aisee.
Kaja kwa wanaotaka mijishepu, sasa mtu huna shida na hizo mambo why umchukie jamaa??
dah kwahiyo hao jamaa wote wanarukaruka hapo hata wanaume, wanaongeza makalio? i wish i was the president. angepigwa persona nonegrata hukohuko.Nimekatiza mitaa ya X nikakutana na taarifa ya mwana mazoezi jina simfahamu ila ni mtu maarufu kwenye mitandao ya kijamii kwa kuoneka kuwa na makalio makubwa na kufanyisha Watu mazoe ya kuongeza makalio
Sasa taarifa zilizopo zinaeleza kuwa ataingia nchini June 29 na sijajuwa atakuwepo hadi lini
Aina ya mazoezi yake ni yale ya kuongeza makalio
Naomba serekali izue vibali vyake kwa vile ujio wake uko kiupinde upinde sana
Nimelazimika kununua bando nilete hii taarifa huku tuijadili na kisha tuiazimie wote kwa pmj
Waziri @dr gwajima tunataka kauli yako haraka
Asante
View attachment 3026798
Ndo ivo mkuu, hakuhusu pita kushoto.Nakuunga mkuu.
Wanaompinga wote wana elements za ushoga, kama mtu hajakulazimisha uje kwanini umshobokee, waacheni watu wanaopenda wakafanye hizo squat, kila jambo sasa mtu anarukia kusema ushoga, kama ni shoga wajaribu kumpa vinyeo then tupate evidence za ushoga wake.
Hayo ndio machoko kitwa nzima kufatilia habari za watu na kuwasema kwa ubaya, mtu hajaitwa, hakujui unakuja kumwanzishia thread, jamaa yupo hivyo kibiashara kuwavuta wanawake, mtu anaanza kuwashwa, je kama anaweka kigodoro ili apate wateja? Na wateja wake wengi ni ma manzi, kila mtu anaishi kwa kutafuta pesa kwa njia zake.Ndo ivo mkuu, hakuhusu pita kushoto.
Sasa mpaka mtu kajua ratiba ya jamaa kufika bila shaka anamfatilia huyo ila in public anataka aonekane nae anapinga ushoga huku anatamani kinyeo cha mr mpododu