Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hayo sio....Mawowowo watayapatia Mloganzila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo sio....Mawowowo watayapatia Mloganzila
Ahahahah 😂 😂 😂 😂 😂 😂Tena wa mshare, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unamatatizo ya akili. Upo hapo Dar na kina lokole na machoko kibao hulalamiki. Unakuja kulalamika mtu anakuja kwa ajili ya mambo yake. Ni sheria gani kavunja? Kama ni tako si ni lake au umeshawishika? Unataka dada zako waende uturuki kila siku? Embu vitu vingine mtumie akili. Ata kama hupendi ushoga, sheria lazima ifuatwe. Sioni shida yeye kuja! Kama ni ushawishi anao sana bila ata kufika bongonyoso.Nimekatiza mitaa ya X nikakutana na taarifa ya mwana mazoezi jina simfahamu ila ni mtu maarufu kwenye mitandao ya kijamii kwa kuoneka kuwa na makalio makubwa na kufanyisha Watu mazoe ya kuongeza makalio
Sasa taarifa zilizopo zinaeleza kuwa ataingia nchini June 29 na sijajuwa atakuwepo hadi lini
Aina ya mazoezi yake ni yale ya kuongeza makalio
Naomba serekali izue vibali vyake kwa vile ujio wake uko kiupinde upinde sana
Nimelazimika kununua bando nilete hii taarifa huku tuijadili na kisha tuiazimie wote kwa pmj
Waziri @dr gwajima tunataka kauli yako haraka
Asante
View attachment 3026798
Sas hv tako. Lako. Lilo. Vip. KwaniTunataka ya kutembelea kaka, make kutembea bila wowowo ni tabu kidogo....
Nenda na wewe kaongozeHuu
Wewe unamatatizo ya akili. Upo hapo Dar na kina lokole na machoko kibao hulalamiki. Unakuja kulalamika mtu anakuja kwa ajili ya mambo yake. Ni sheria gani kavunja? Kama ni tako si ni lake au umeshawishika? Unataka dada zako waende uturuki kila siku? Embu vitu vingine mtumie akili. Ata kama hupendi ushoga, sheria lazima ifuatwe. Sioni shida yeye kuja! Kama ni ushawishi anao sana bila ata kufika bongonyoso.
Na watakuwepo wengi sana tu Tatizo mnajionaga Malaika waandamizi wa mbinguni kwendraa.Mashekhe wenyewe wanasifia Tako Sunnah😏😏Nitashangaa sana sana wanawake wakiislamu wakijitokeza kuunga mkono huu ujaahili.
Nilielezee kwa maneno au ntume tu picha?Sas hv tako. Lako. Lilo. Vip. Kwani
Upinde uko wapi hapo??Kumbe mm nilikuwa nakuona unabusara kumbe unashabikia mambo ya upinde
Akili kisoda, upinde wa jamaa ni nini??Mnampambania upinde wenu nnenda na wee kakuze kalio
Kwani waume wao hawavutiwi na mawowowo?Nitashangaa sana sana wanawake wakiislamu wakijitokeza kuunga mkono huu ujaahili.
[emoji3][emoji3][emoji3]Hautaki dada zako tuwe na mawowowo???
Matako tunayapenda ila mkiwa nayo nyie sio sisiSi mnapenda mataakoo.... ndio kaja kuwawekea sasa habagui hachagui wa kike wa kiume...
Hiyo khaa hapo inaonesha na wewe ni walewale bwabwaSawa kwako ila siyo kwa wanaume jmn khaaa
Nioneshe kwa picha naomba unidm niyaone yalivyo wenda yanafaha kuongezwa au kubaki hvyo hvyoNilielezee kwa maneno au ntume tu picha?
Hata lako lafaa kbsa kubustiwa na King of squashSi mnapenda mataakoo.... ndio kaja kuwawekea sasa habagui hachagui wa kike wa kiume...
Hahaha Brook nimejauka bwabwa tenaHiyo khaa hapo inaonesha na wewe ni walewale bwabwa
Ndio. Watajazan sasNitashangaa sana sana wanawake wakiislamu wakijitokeza kuunga mkono huu ujaahili.
KbsaaMatako tunayapenda ila mkiwa nayo nyie sio sisi