DOKEZO Serikali imzuie huyu jamaa kuingia nchini, ana agenda amebeba

DOKEZO Serikali imzuie huyu jamaa kuingia nchini, ana agenda amebeba

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Naona mnaingilia uhuru wa watu, hivi watu wanaoshinda Gym kuongeza vifua, mikono, miguu na kukata tumbo hamuwaoni?.
Iweje aliyeamua kwa hiyari yake kuongeza kalio iwe nongwa?

Mbona nasikia kuna hospitali hapa bongo zinaongeza makalio na hatusikii kelele?.

Hii dunia ni yetu sote, na kila mmoja ana angle yake ambayo anamkosea mwenzake ila tunaishi kwa kuvumiliana.

Nimeona clips nyingi za huyo mtumishi akiburudisha na kufundisha watu mazoezi hayo lakini siwezi sema mazoezi yake yana shida ya kuchangia ushoga na usagaji au laa.

Tuache hulka ya kila kitu kukihusisha na ushoga.
Kwani hujui wabongo ushoga umewakaa akilini? Kila kitu wao ni ushoga. Lol
 
Mimi niliiona ile video yake ya kuwa alert machoko ya tz wajiandae kumpokea.
Wasagaji na wafirwaji watalipia mpaka ving'ora vya polisi siku akifika.
Huu upinde una nguvu sana kwakuwa unadhaminiwa na pesa za Ibilisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nyie straight uchwara mnashindwa nn kuzuia? Au hamna pesaa? Woiiiiih
 
Nimekatiza mitaa ya X nikakutana na taarifa ya mwana mazoezi jina simfahamu ila ni mtu maarufu kwenye mitandao ya kijamii kwa kuoneka kuwa na makalio makubwa na kufanyisha Watu mazoe ya kuongeza makalio

Sasa taarifa zilizopo zinaeleza kuwa ataingia nchini June 29 na sijajuwa atakuwepo hadi lini

Aina ya mazoezi yake ni yale ya kuongeza makalio

Naomba serekali izue vibali vyake kwa vile ujio wake uko kiupinde upinde sana

Nimelazimika kununua bando nilete hii taarifa huku tuijadili na kisha tuiazimie wote kwa pmj

Waziri @dr gwajima tunataka kauli yako haraka

Asante

View attachment 3026798
... SIJUI KAMA MAZOEZI YAKE KWELI YANASAIDIA KUONGEZA MAKALIO, Ila kwa kubinua kiuno kwakweli wamama watapata 'coacher' kiboko!
😅
 
Back
Top Bottom