DOKEZO Serikali imzuie huyu jamaa kuingia nchini, ana agenda amebeba

DOKEZO Serikali imzuie huyu jamaa kuingia nchini, ana agenda amebeba

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Naona mnaingilia uhuru wa watu, hivi watu wanaoshinda Gym kuongeza vifua, mikono, miguu na kukata tumbo hamuwaoni?.
Iweje aliyeamua kwa hiyari yake kuongeza kalio iwe nongwa?

Mbona nasikia kuna hospitali hapa bongo zinaongeza makalio na hatusikii kelele?.

Hii dunia ni yetu sote, na kila mmoja ana angle yake ambayo anamkosea mwenzake ila tunaishi kwa kuvumiliana.

Nimeona clips nyingi za huyo mtumishi akiburudisha na kufundisha watu mazoezi hayo lakini siwezi sema mazoezi yake yana shida ya kuchangia ushoga na usagaji au laa.

Tuache hulka ya kila kitu kukihusisha na ushoga.
 
Ajenda ni kuongeza kalio au namna ya kuliongeza?

Si kuna hospitali yetu kubwa tu hivi karibuni wametangaza kuanza kutoa hii huduma?

Hapa kama hoja ni kuongeza kalio tofauti na lile umejaaliwa na Muumbaji, una hoja, vinginevyo Kwa Dunia ilivyo Sasa, utahangaika na mambo mengi sana ukose kufanya mambo ya msingi.

Kama hapa imebidi ununue kifurushi nje ya utaratibu wa matumizi yako.
 
Back
Top Bottom