Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakuwepo kuwaona na kujibebea warembo wenye nyashi itakuwa kuza bonanza hapa chuga bonge la outingNimekatiza mitaa ya X nikakutana na taarifa ya mwana mazoezi jina simfahamu ila ni mtu maarufu kwenye mitandao ya kijamii kwa kuoneka kuwa na makalio makubwa na kufanyisha Watu mazoe ya kuongeza makalio
Sasa taarifa zilizopo zinaeleza kuwa ataingia nchini June 29 na sijajuwa atakuwepo hadi lini
Aina ya mazoezi yake ni yale ya kuongeza makalio
Naomba serekali izue vibali vyake kwa vile ujio wake uko kiupinde upinde sana
Nimelazimika kununua bando nilete hii taarifa huku tuijadili na kisha tuiazimie wote kwa pmj
Waziri @dr gwajima tunataka kauli yako haraka
Asante
View attachment 3026798
Hahahaha! Hali ni ngumu!Yaani kutoka kuwa walinzi mpaka tunatakiwa tulindwe sisi?
Inasikitisha sana!
Kwani anakuja Arusha ??King o
Tutakuwepo kuwaona na kujibebea warembo wenye nyashi itakuwa kuza bonanza hapa chuga bonge la outing
Pole SANA upindeUmelazimishwa kwenda?
Pole San upindeKwa hyo unahisi akija matako yako yatapanuka?utakuwa vile unawaza
Mnampambania upinde wenu nnenda na wee kakuze kalioWaTz jau sana mkuu, watu wana chuki za kiwaki sana aisee.
Kaja kwa wanaotaka mijishepu, sasa mtu huna shida na hizo mambo why umchukie jamaa??
Kumbe mm nilikuwa nakuona unabusara kumbe unashabikia mambo ya upindeWaTz jau sana mkuu, watu wana chuki za kiwaki sana aisee.
Kaja kwa wanaotaka mijishepu, sasa mtu huna shida na hizo mambo why umchukie jamaa??
Itakuwa waoo ndio wamemualika Bado napambna azuiwe kuingia ndani ya nchi hiiHutaki kina Juma Lokole waji upgrade.
Ngoja tuone mpambano wako mana vile Wabongo tunajali pesa na uchawa kwa sasa! Jamaa akimwaga pesa za kamba ndefu hatapewa kibali kweli kama mkufunzi wa mazoezi au mtalii?Itakuwa waoo ndio wamemualika Bado napambna azuiwe kuingia ndani ya nchi hii
Ndio anakuja kwenye bonanza la gym maarufu ipo njiro arushaKwani anakuja Arusha ??
Wacha nifatilie mnk chuga nayo SAS HV imekuwa hvyo San watalii wanaaribu vijanaNdio anakuja kwenye bonanza la gym maarufu ipo njiro arusha
Upumbafu huo ujaona wanaume wanaruka ruka. Nao kwenye video Huyu mwanaume anapeleka wapi makulioKama atawafanyisha wanawake ni sawa tu..
Teh teh teh 😃 😃 noma sanaNasikia tickets za kwenda kumuona tayari ni Sold Out
Hao wanaume huku tutawachapa viboko, aje ila afundishe wanawake tuUpumbafu huo ujaona wanaume wanaruka ruka. Nao kwenye video Huyu mwanaume anapeleka wapi makulio