DOKEZO Serikali imzuie huyu jamaa kuingia nchini, ana agenda amebeba

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Akina dada wenye mgongo BAPA, changamkieni fursa ya kuongeza makalio kwa njia salama ya mazoezi, badala ya ile njia ya kupaka kemikali.
 
WaTz jau sana mkuu, watu wana chuki za kiwaki sana aisee.
Kaja kwa wanaotaka mijishepu, sasa mtu huna shida na hizo mambo why umchukie jamaa??
Nakuunga mkuu.
Wanaompinga wote wana elements za ushoga, kama mtu hajakulazimisha uje kwanini umshobokee, waacheni watu wanaopenda wakafanye hizo squat, kila jambo sasa mtu anarukia kusema ushoga, kama ni shoga wajaribu kumpa vinyeo then tupate evidence za ushoga wake.
 
dah kwahiyo hao jamaa wote wanarukaruka hapo hata wanaume, wanaongeza makalio? i wish i was the president. angepigwa persona nonegrata hukohuko.
 
Ndo ivo mkuu, hakuhusu pita kushoto.

Sasa mpaka mtu kajua ratiba ya jamaa kufika bila shaka anamfatilia huyo ila in public anataka aonekane nae anapinga ushoga huku anatamani kinyeo cha mr mpododu
 
Ndo ivo mkuu, hakuhusu pita kushoto.

Sasa mpaka mtu kajua ratiba ya jamaa kufika bila shaka anamfatilia huyo ila in public anataka aonekane nae anapinga ushoga huku anatamani kinyeo cha mr mpododu
Hayo ndio machoko kitwa nzima kufatilia habari za watu na kuwasema kwa ubaya, mtu hajaitwa, hakujui unakuja kumwanzishia thread, jamaa yupo hivyo kibiashara kuwavuta wanawake, mtu anaanza kuwashwa, je kama anaweka kigodoro ili apate wateja? Na wateja wake wengi ni ma manzi, kila mtu anaishi kwa kutafuta pesa kwa njia zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…