Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini serikali haijatoa ufafanuzi juu ya kupotea kwa internet kipindi cha uchaguzi mwaka 2020 kama serikali hivi karibuni imekuwa na utaratibu wa kutoa taarifa rasmi endapo kukiwa na mkanganyiko wa taarifa kwa wananchi?
Ayoub Rioba: Duniani mpaka nchi zilizoendelea kabisa huwa zinatumia teknolojia kudhibiti baadhi ya vitu!
Wadau hii imekaaje?
Ayoub Rioba: Duniani mpaka nchi zilizoendelea kabisa huwa zinatumia teknolojia kudhibiti baadhi ya vitu!
Wadau hii imekaaje?