and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Safi sanaKuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima.
Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu maana vyote viko kwenye uchafu.
Na mbaya zaidi Mkuu wa Mkoa Chalamila anasikika akiagiza Wanajeshi kufanya usafi kwenye mitaa ambako hata hakuna shida bali ni masuala tu ya kisiasa.
Hebu Mamlaka ziwe serious na afya za Wananchi jamani
View attachment 2876416View attachment 2876417View attachment 2876418View attachment 2876419View attachment 2876420View attachment 2876421View attachment 2876422View attachment 2876423View attachment 2876424View attachment 2876425View attachment 2876426View attachment 2876427View attachment 2876428View attachment 2876429