Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

Vuka border ukiwa unamejiandaa sio vuka border ukauze matunda
Hizi ni akili za waajiriwa bila shaka...kuwa mfanyabiashara mkubwa haimaanishi kila mtu alianza na mtaji mkubwa hapana au alianza kuuza magari
 
Franck Zulu anaelezea suala muhimu unapokwenda nchi ya kigeni, kuna vitu unatakiwa kufahamu na siyo kulia ni ubaguzi, hupendwi, hujui lugha ya wenyeji n.k Atoa mfano wa Japan utaona watu wengi wanaingia ktk mgahawa lakini ukitaka kuingia unaambiwa samahani mgahawa umefungwa na sekunde hiyo hiyo unaona watu wanakupita wanaingia. Hali hiyo siyo ubaguzi wa rangi au daraja lako ya jamii n.k bali ni jambo jingine kubwa usilijua


View: https://m.youtube.com/watch?v=z7lYacqTN0k

Hivyo nchini Afrika ya Kusini kuna mambo usiyoyajua wewe mgeni lakini unalazimisha kutokana na kutokuwa ubishi au kukusa ufahamu wa tofauti kubwa kati yako na wenyeji wako hata kama rangi mnafanana

Ndiyo maana baadhi ya dini za Mashariki ya mbali Japan, China, Thailand hata India huwa kwenye mahekalu yao hawafanyi juhudi yoyote kukaribisha ktk imani zao watu wasiokuwa watu wao yaani wazungu, waarabu, waafrika n.k

Siyo kwamba watu hao wa mashariki ya mbali ni wabaguzi lahasha, bali wanaona hufahamu chochote kuhusu wao, imani yao hivyo hawana tabia za kubatiza au kusilimisha au kukukaribisha katika baadhi ya migahawa yao ya kiasili ukiwa Japan kwa kuwa utapata usumbufu kuona msosi wa nyoka, vyakula vya rangi kali, vyakula visivyopikwa yaani hata 'menu' ukiletewa huelewi hiki, kile au kilichopo mbele yako ni nini


Hii huenda mbali katika biashara hizo fursa unazoona mgeni ni uchafuzi wa barabara za mijini, taxi za bodaboda ni uhayawani n.k n.k

Tuwaache waSauzi waishi wanavyotaka kama vile WaJapani n.k wanavyotaka kuishi, sisi wageni tusilazimishe wao wenyeji wakubali hulka ngeni za wakuja

Ok
 
Hizi ni akili za waajiriwa bila shaka...kuwa mfanyabiashara mkubwa haimaanishi kila mtu alianza na mtaji mkubwa hapana au alianza kuuza magaelewa ndio ujibu,

Hizi ni akili za waajiriwa bila shaka...kuwa mfanyabiashara mkubwa haimaanishi kila mtu alianza na mtaji mkubwa hapana au alianza kuuza magarie
Hizi ni akili za waajiriwa bila shaka...kuwa mfanyabiashara mkubwa haimaanishi kila mtu alianza na mtaji mkubwa hapana au alianza kuuza magari
Elewa ndio ujibu
 
Hizi ni akili za waajiriwa bila shaka...kuwa mfanyabiashara mkubwa haimaanishi kila mtu alianza na mtaji mkubwa hapana au alianza kuuza magari
Kigezo ni kutoka kwenu au kigezo nikuenda kunitafta mbali w.ew unayesema ivyo uko wapi!!sisi tuliopo uku sa ndo tunajua hao nhizo kauli zenu izo ndo mnaenda kichwa kichwa tu bila kujiandaa wanakuwa na kazi zisizoerewaja miaka nenda miaka rudi.
 
30 April 2026
Hillbrow Johannesburg

Maandamano siku ya pili mjini kati CBD Johannesburg

AFRIKA KUSINI YATOA TAARIFA 🚨 “Hillbrow Sio ya Raia wa Kigeni” – Taarifa ya Ngizwe Mchunu

View: https://m.youtube.com/watch?v=QkxUlU2hw0A
Waafrika Kusini wanajibu baada ya Ngizwe Mchunu kusema kwamba Hillbrow na Yeoville si makoloni ya raia wa kigeni, wakisisitiza wasiwasi kuhusu uhamiaji haramu wasio na makaratasi huku wakitoa wito wa ushiriki wa amani.

Kauli hiyo imezua mjadala mkubwa katika jamii, ikizua maswali kuhusu utekelezaji wa sheria, umiliki wa jamii, na mivutano ya kijamii. Katika video hii, tunafafanua hasa kile kilichosemwa, muktadha nyuma ya kauli hizo, na athari zinazojitokeza kote nchini
 
Kama oktoba tu hawakujali mtu sembuse hao nguchiro waliokimbilia south African
 
Back
Top Bottom