malaki123
Member
- May 12, 2025
- 63
- 65
Utanfukuzaje mtu mwenye mali wakati unategemea yeye ndo akusaidie.unafukuza ambao ni uselessMbona hapa wageni ndio wenye mali na wewe hauna kitu haujamfukuza mtu..
Utanfukuzaje mtu mwenye mali wakati unategemea yeye ndo akusaidie.unafukuza ambao ni uselessMbona hapa wageni ndio wenye mali na wewe hauna kitu haujamfukuza mtu..
Ushasema kiongozi sasa.kiongozi ni mtu mwingine na mim ni mtu mwingine apa sizungumzi kama kiongoziSasa jitu kama ili ndio liwe kiongozi wenu unategemea Lina msaada gani Zaidi ya uchhoko tu.
Hao bila kutumia njia hiyo huwatoi south
Mwambie huyo viongozi wa tz hawa2ezi wwkaww na huruma na watuViongozi wako tangu lini wakawa na huruma nanyi?
Sasa ukatili huo ni saw tu wa October 29Kumbe umasikini ni adui mbaya hivi! Yaani wapo watu humu anafurahia kabisa anasema watz sjui tuna nini acha apigwe! Binadamu mwenzio kabisaa? Unajiskia vibaya vile amevuka boda we huna ata karatasi ya muda ya kuvukia border! Acheni roho mbaya za vile ubaguzi haukubaliki ukiangalia tuko Africa yetu hii hii wizara ya mambo ya nje simamieni hili jambo kuwanusuru watz na yale mamtu hayanaga ubinadamu kabisaa yakiamua kufanya yao. Kuna clip nyingine nimeona mtu anapigwa na polisi hata hawajishughulishi
Bora hata wale wanawapiga wanawaacha mahututi, matahira na mashetani ya kwetu yalikuwa yanauwa ilimradi kuua hata watoto, vijana nguvu kazi wamejikalia zao wanawalaza chini wanamimina risasi, umbwa zile kila nkitafakari naingia kuombea mashef woote kuanzia juu wakufe kifo cha mubaya sanaSasa ukatili huo ni saw tu wa October 29
Tenda wema nenda zako.fadhila antia mungu tu.Hapo ingekuwa ni Nchi ya kiislamu tungesikia kila aina ya kejeli na tuhuma ila kwa sababu sio basi mlengo wa kidini hautazungumzwa kabisa.Matendo ya kishenzi kabisa hasa ukitilia maana South Africa walisaidiwa sana wakati wakijikomboa kutoka kwa makaburu.Walipewa makazi Morogoro na Arusha ,silaha,pasipoti na misaada ya kiuchumi.Leo fadhila yao ni kuwaua na kuwapiga na kuwanyanyasa waliowasadia.
Bora hata wale wanawapiga wanawaacha mahututi, matahira na mashetani ya kwetu yalikuwa yanauwa ilimradi kuua hata watoto, vijana nguvu kazi wamejikalia zao wanawalaza chini wanamimina risasi, umbwa zile kila nkitafakari naingia kuombea mashef woote kuanzia juu wakufe kifo cha mubaya san
Yaaan hatariBora hata wale wanawapiga wanawaacha mahututi, matahira na mashetani ya kwetu yalikuwa yanauwa ilimradi kuua hata watoto, vijana nguvu kazi wamejikalia zao wanawalaza chini wanamimina risasi, umbwa zile kila nkitafakari naingia kuombea mashef woote kuanzia juu wakufe kifo cha mubaya sana
Mwambie huyo ety nae anaona wew ndo hierewisihitaji kufika AK kuelewa dynamics za mambo kama haya, AK siyo wa kwanza ku-attack foreigners na mara nyingi victims wa kwanza wa attacks kama hizi huwa wageni masikini, kwani wale wenze uwezo huondoka kabla mambo hayajaharibika na kufikiwa kwanza wanaishi (wageni wenye uwezo) in gated community huwezi kuingia bila ya utambulisho, kazini anakwenda na gari, watoto shuleni wanachukuliwa na school bus sasa hao majobliess watawafikia saa ngapi?
hao wanaokuwa attacked ni wahamiaji masikini lower class ambao wanaishi uswazi na ku-hustle kama wenyeji wa huko, shida iko hapo, hawaongei lugha za huko na hivyo ni rahisi kuwajua lkn upper na middle class wote wanaongea english sasa utamu-attack saa ngapi na wapi kwanza utamuaona? ni kama tanzagiza ulisikia mtu wa masaki au obey aliyeuliwa 10/29 na serikali hata mmoja? serikali iliua wale tu walioukuwa wanaishi uswahilini, unajua ni kwa nini? ...
Asante umenisaidia ,yaani watanzania wenyewe wabaguzinety wakienda inchi za wengine wasubaguliwe waoKubali hao ni wakimbizi ,hakuna kitu kinaitws kutafuta maisha ...Hapo nakuonesha unafiki wabongo ,si mnasema wachina wanavamia kila biashara ,watu wamemueleza mpaka waziri jamba la wageni kufanya biashara zote mpaka umachinga.
Sasa kaangalie south hao wageni wanafanya kazi gani? Ondokeni nchi za watu ,muache shobo kabisa....Nyie watanzania ni wabaguzi wa kwanza wala hamfai mbaki kwenu.
Yaaan wameenda wenyewe hawataki kujenga inchi Yao wanaenda kujenga inchi za wengine arafu saiv wanataka msaada kutoka inchin kwaoHakuna mpambanaji anaenda nchi za watu ,narudia tena hakuna mpambanaji wa hivyo zaidi ni mpenda kitonga.
Sasa mbona mnaleta huruma?😅😅 Mnatia huruma wakimbizi , serikali iliwapeleka
.Pambaneni sasa kama mnayaweza.
Hahahahahahahah wake walimu uvivu tu wakulimaWaache wapigwe sasa ,unatoka hapa unaenda kuuza ndizi south ..Eti mtu anajiita mpambanaji wakati kakimbia aibu za kufanya biashara bongo... Wengi wana viduka vya mangi, na wengine wameajiriwa kwenye supermarket.
wanaishi kwenye apartment za hovyo kama hostel ,mtu ana miaka 35 anaishi kighetto kama mtoto.. Kazi kuwa kushate viatu vikubwa na nguo ,kupiga picha kwenye maghorofa ila wanapoteza muda na kujaza vyoo.
Bado natafakari ameandika nini! Mauaji ya 29 October anaona ni sawa waliouliwa kwasababu walikuwa wa maisha ya chini! Naye masikini hadi mawazo tu kwahiyo yeye anaamini utu wa mtu ni pesa tu kama huna pesa kuuliwa na kunyanyaswa ni sawa? Haya walizuia wapi mtu kwenda kupambania ndoto zake kwa kuanzia chini mpaka ajipate? Kwani kuhustle mtaani ndio ticket ya mtu kubaguliwa na kufanyiwa unyanyasaji wa vile? Narudi tena kwenye issue ya 29 yaan anachukuliaje mtu wa tabata, kimara, magomeni, manzese kuuliwa na kuachwa wale wa masaki na mikocheni kwamba ilikuwa halali watu wa kati na wa chini kukatili uhai wao bila sababu na wengine wakiwa majumbani, kwenye shughuli zao za utafutaji, aaahh huyo naye senge senge bayaMwambie huyo ety nae anaona wew ndo hierewi
Kuvuka border na kupanua wigo wa utafutaji ni ndoto ya kila anayetafuta ndugu pale hawaendi kujenga uchumi wa kule ila ni kujijenga wao, sema tu huna uwezo huooo kuna raha ya kuvuka border hasa ukiwa na malengo hizo ni kauli za sizitaki mbichi hizi. Hakuna anayependa born here here die here here 🙌Yaaan wameenda wenyewe hawataki kujenga inchi Yao wanaenda kujenga inchi za wengine arafu saiv wanataka msaada kutoka inchin kwao
Vuka border ukiwa unamejiandaa sio vuka border ukauze matundaKuvuka border na kupanua wigo wa utafutaji ni ndoto ya kila anayetafuta ndugu pale hawaendi kujenga uchumi wa kule ila ni kujijenga wao, sema tu huna uwezo huooo kuna raha ya kuvuka border hasa ukiwa na malengo hizo ni kauli za sizitaki mbichi hizi. Hakuna anayependa born here here die here here 🙌
Hakuna haki ya kumpiga mtu yeyote bila kosa. Huyu kavunjwa taya, meno, na pengine hana muda mrefu wa kuishi halafu wewe unatanguliza ushuzi wako hapa, mpumbavu wewe unayetumia makalio kufikiri. Hakuna anayelaumu serikali, ni utaratibu kama raia wa nchi zingine wapo kwenye nchi zenye shida kuomba kuondolewa na wenye jukumu la kufanya hivyo ni serikali. Mbona watanzania waliopo DUBAI walipelekewa ndege? Au hawa unaowaona hapo ni second class citizens? Tumia kichwa chako kwenye kufikiri badala ya kutumia makalio yako, mpumbavu wewe usiye na akili hata moja.Free movement, kila mtu anayo haki ya kwenda popote pale anapoona kunafaa ili mradi amefuata sheria, hata kama hajafuata sheria, kuna mahakama. Wewe ni mshenzi usiye na akili, unafurahia kuona watu wakipigwa...fala wewe.Wakimbizi mpigwe tu ,si mnasema hauwezi kufanikiwa ukiwa kwenu..Pambaneni ; kila kitu mnalaumu serikali.
Na Bakhresa aliyevuka na kuuza vitu vidogo vidogo na kushona viatu? Ongea kwa kutumia akili mshamba wewe.Vuka border ukiwa unamejiandaa sio vuka border ukauze matunda
Kupigwa utapigwa , na hakuna kitu utafanya ..Endelea kuamini ujingaHakuna haki ya kumpiga mtu yeyote bila kosa. Huyu kavunjwa taya, meno, na pengine hana muda mrefu wa kuishi halafu wewe unatanguliza ushuzi wako hapa, mpumbavu wewe unayetumia makalio kufikiri. Hakuna anayelaumu serikali, ni utaratibu kama raia wa nchi zingine wapo kwenye nchi zenye shida kuomba kuondolewa na wenye jukumu la kufanya hivyo ni serikali. Mbona watanzania waliopo DUBAI walipelekewa ndege? Au hawa unaowaona hapo ni second class citizens? Tumia kichwa chako kwenye kufikiri badala ya kutumia makalio yako, mpumbavu wewe usiye na akili hata moja.Free movement, kila mtu anayo haki ya kwenda popote pale anapoona kunafaa ili mradi amefuata sheria, hata kama hajafuata sheria, kuna mahakama. Wewe ni mshenzi usiye na akili, unafurahia kuona watu wakipigwa...fala wewe.
Unafurahia ukiona binadamu mwenzako akipigwa? Basi huna akili wewe.Kupigwa utapigwa , na hakuna kitu utafanya ..Endelea kuamini ujinga
kwani nampiga mimi ? usiwe mnafiki , mimi ndiye nawapenda ndugu zangu watanzania .Warudi tu home kuishi kwa amani.Unafurahia ukiona binadamu mwenzako akipigwa? Basi huna akili wewe.