Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

hakuna mtanzagiza AK mwenye white-collar job anayewindwa na hao majobless huko ingekuwa hivyo wangesharudi zamani sana tena hata wengi wangeondoka wenyewe kurudi bila hata ya serikali kuwafwata,

hao wanawinda machinga na masikini wageni wasio na mbele wala nyuma ambao wanaleta ushindani kwa wazawa wa huko ambao tayari wamepigika pia, ni sawa na tanzagiza wachina wanavyofanya umachinga huku serikali ya tanzagiza ikiwaona na kuwaruhusu kuleta competition kwa vijana wa tanzagiza ambao tayari wamepigika hivyo ilipaswa pia hapa tuwawinde na kuwapa kichapo wachina, lkn najua wakijaribu serikali ya tanzagiza itaua hata watanzagiza milioni kwa risasi kulinda wachina.
...
Kitu kama hujui kaa kimya kuliko kuropoka,hapo ukute umezaliwa kijijini na umezeekea kwenye hicho hicho kijiji,

Umewahi kufika SA ukajionea wewe mwenyewe? Au unajisemea tu?
 
Kitu kama hujui kaa kimya kuliko kuropoka,hapo ukute umezaliwa kijijini na umezeekea kwenye hicho hicho kijiji,

Umewahi kufika SA ukajionea wewe mwenyewe? Au unajisemea tu?

sihitaji kufika AK kuelewa dynamics za mambo kama haya, AK siyo wa kwanza ku-attack foreigners na mara nyingi victims wa kwanza wa attacks kama hizi huwa wageni masikini, kwani wale wenze uwezo huondoka kabla mambo hayajaharibika na kufikiwa kwanza wanaishi (wageni wenye uwezo) in gated community huwezi kuingia bila ya utambulisho, kazini anakwenda na gari, watoto shuleni wanachukuliwa na school bus sasa hao majobliess watawafikia saa ngapi?

hao wanaokuwa attacked ni wahamiaji masikini lower class ambao wanaishi uswazi na ku-hustle kama wenyeji wa huko, shida iko hapo, hawaongei lugha za huko na hivyo ni rahisi kuwajua lkn upper na middle class wote wanaongea english sasa utamu-attack saa ngapi na wapi kwanza utamuaona? ni kama tanzagiza ulisikia mtu wa masaki au obey aliyeuliwa 10/29 na serikali hata mmoja? serikali iliua wale tu walioukuwa wanaishi uswahilini, unajua ni kwa nini? ...
 
sihitaji kufika AK kuelewa dynamics za mambo kama haya, AK siyo wa kwanza ku-attack foreigners na mara nyingi victims wa kwanza wa attacks kama hizi huwa wageni masikini, kwani wale wenze uwezo huondoka kabla mambo hayajaharibika na kufikiwa kwanza wanaishi (wageni wenye uwezo) in gated community huwezi kuingia bila ya utambulisho, kazini anakwenda na gari, watoto shuleni wanachukuliwa na school bus sasa hao majobliess watawafikia saa ngapi?

hao wanaokuwa attacked ni wahamiaji masikini lower class ambao wanaishi uswazi na ku-hustle kama wenyeji wa huko, shida iko hapo, hawaongei lugha za huko na hivyo ni rahisi kuwajua lkn upper na middle class wote wanaongea english sasa utamu-attack saa ngapi na wapi kwanza utamuaona? ni kama tanzagiza ulisikia mtu wa masaki au obey aliyeuliwa 10/29 na serikali hata mmoja? serikali imeua wale tu walioukuwa wanaishi uswahilini, unajua ni kwa nini? ...
Wewe malizia tu life lako hapo kijijini,acha wanaume wapambane,popote kambi,

Endelea kusubiri uletewe utajiri na vyama.
 
Hata hueleweki unatetea kitu gani na unaponda kitu gani! Una maanisha nini kuwaita wakimbizi hao walioenda kutafuta maisha? Unajua ni vigezo gani vinahitajika ili kumuita mtu mkimbizi?

Kwahiyo wewe,mtu kwenda nchi nyingine kutafuta maisha ni kosa?

Haki unaweza kuikosa hata kama unaishi ndani ya nchi yako,matatizo yanaweza kukufika hata kama umo ndani ya nchi yako,

Maisha ni kutake risk,uoga wako ndio umasikini wako,

Wale waliovunjiwa maduka yao na kuchomwa moto wakati wa yale maandamano,hawakua ndani ya nchi yao?
Kubali hao ni wakimbizi ,hakuna kitu kinaitws kutafuta maisha ...Hapo nakuonesha unafiki wabongo ,si mnasema wachina wanavamia kila biashara ,watu wamemueleza mpaka waziri jamba la wageni kufanya biashara zote mpaka umachinga.

Sasa kaangalie south hao wageni wanafanya kazi gani? Ondokeni nchi za watu ,muache shobo kabisa....Nyie watanzania ni wabaguzi wa kwanza wala hamfai mbaki kwenu.
 
Wewe ni mjinga usiyekua na akili timamu,JF imekua na mapimbi kama wewe wengi sana siku hizi,

Mada inajadili matatizo ya South Afrika,

Kafungue mada yako uelezee matatizo yaliyopo nchini,tutakuja kuchangia,hapa tunajadili mada iliyopo mezani,kaa kimya ili kuficha upumbavu wako.
Kwanini uzungumzie shida za mwenzako wakati wewe mwenyewe unamatatizo ya kutisha,maliza matatizo yako ndio upate legitimate ya kuzungumzia matatizo ya mwenzako,hivi kwa logic mimi na wewe nani mjinga???,wewe ndiye mjinga unayezungumzia matatizo ya jirani yako ikiwa wewe unamatatizo mengi kuliko jirani yako,,wewe ni mjinga na huna akili timamu
 
Kubali hao ni wakimbizi ,hakuna kitu kinaitws kutafuta maisha ...Hapo nakuonesha unafiki wabongo ,si mnasema wachina wanavamia kila biashara ,watu wamemueleza mpaka waziri jamba la wageni kufanya biashara zote mpaka umachinga.

Sasa kaangalie south hao wageni wanafanya kazi gani? Ondokeni nchi za watu ,muache shobo kabisa....Nyie watanzania ni wabaguzi wa kwanza wala hamfai mbaki kwenu.
Hizi comment ya aina hii,mara nyingi ni comment za watu waoga,wasiopenda kutake risk,

Kama wewe huwezi basi usiwapangie wanao weza,hii Dunia ni pana sana,kila nchi ina watu wa mataifa mbalimbali,heshimu husle za watu.
 
Pumbafu kabisa mnashindwa kutengeneza kwenu mnalalamikia serikali ya SA,wakati serikali yenu haramu inawanyonga huu ni upumbafu wa zaidi ya rough road
 
Hakuna mpambanaji anaenda nchi za watu ,narudia tena hakuna mpambanaji wa hivyo zaidi ni mpenda kitonga.

Sasa mbona mnaleta huruma?😅😅 Mnatia huruma wakimbizi , serikali iliwapeleka
.Pambaneni sasa kama mnayaweza.
 
Pumbafu kabisa mnashindwa kutengeneza kwenu mnalalamikia serikali ya SA,wakati serikali yenu haramu inawanyonga huu ni upumbafu wa zaidi ya rough road
Wenyewe wanajiita wapambana ,kumbe wanapenda vitongo waliokimbia maisha ya upambanaji na kwenda kula jasho la wenzao .
 
Kwanini uzungumzie shida za mwenzako wakati wewe mwenyewe unamatatizo ya kutisha,

mimi sio mumeo mpaka unipangie nijadili nini,kampangie mumeo,
maliza matatizo yako ndio upate legitimate ya kuzungumzia matatizo ya mwenzako,hivi kwa logic mimi na wewe nani mjinga???

Wewe ni mpumbavu,hii mada inaongelea matatizo ya SA unataka tuibadili mada? Wewe toka umeanza kujadili natatizo yako,umeweza kubadili nini?
,wewe ndiye mjinga unayezungumzia matatizo ya jirani yako ikiwa wewe unamatatizo mengi kuliko jirani yako,,wewe ni mjinga na huna akili timamu
Hapa tinajadili mada iliyopo kwenye huu uzi,acha kupangia watu vitu vya kujadili,

Yani mpaka muda huu bado tu hujauona tu ujinga wako?

Wewe nenda kafungue uzi ujadili matatizo ya nchini mwako,hakuna aliyekwambia uleta kalio zako kwenye huu uzi,

Uwe unajadili kwenye uzi ambao unaona wewe unakuhusu,acha kujipa umuhimu usiokua nao pimbi wewe,kuna mtu alikuita kwenye huu uzi unaohusu matatizo ya SA?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hakuna mpambanaji anaenda nchi za watu ,narudia tena hakuna mpambanaji wa hivyo zaidi ni mpenda kitonga.

Sasa mbona mnaleta huruma?😅😅 Mnatia huruma wakimbizi , serikali iliwapeleka
.Pambaneni sasa kama mnayaweza.
Nani anatia huruma?

Mimi najadili mada wala usifikiri kua mimi nipo SA.

Wewe komaa tu hapo kwa bimkubwa.
 
Nani anatia huruma?

Mimi najadili mada wala usifikiri kua mimi nipo SA.

Wewe komaa tu hapo kwa bimkubwa.
Waache wapigwe sasa ,unatoka hapa unaenda kuuza ndizi south ..Eti mtu anajiita mpambanaji wakati kakimbia aibu za kufanya biashara bongo... Wengi wana viduka vya mangi, na wengine wameajiriwa kwenye supermarket.

wanaishi kwenye apartment za hovyo kama hostel ,mtu ana miaka 35 anaishi kighetto kama mtoto.. Kazi kuwa kushate viatu vikubwa na nguo ,kupiga picha kwenye maghorofa ila wanapoteza muda na kujaza vyoo.
 
mimi sio mumeo mpaka unipangie nijadili nini,kampangie mumeo,

Wewe ni mpumbavu,hii mada inaongelea matatizo ya SA unataka tuibadili mada? Wewe toka umeanza kujadili natatizo yako,umeweza kubadili nini?

Hapa tinajadili mada iliyopo kwenye huu uzi,acha kupangia watu vitu vya kujadili,

Yani mpaka muda huu bado tu hujauona tu ujinga wako?

Wewe nenda kafungue uzi ujadili matatizo ya nchini mwako,hakuna aliyekwambia uleta kalio zako kwenye huu uzi,

Uwe unajadili kwenye uzi ambao unaona wewe unakuhusu,acha kujipa umuhimu usiokua nao pimbi wewe,kuna mtu alikuita kwenye huu uzi unaohusu matatizo ya SA?
Naingilia huu uzi kudeal na nyinyi vijana wajinga wajinga kuwafanya angalau mpate hata akili ya kuvukia barabarani, maana tukiacha taifa liwe na vijana wajinga na wapumbafu kama wewe,taifa hili litakosa mwelekeo na mwisho kuanguka kabisa
 
Pumbavu mamako

Sasa wewe umeifanya nini hiyo serikali so far ili iache kukunyonga?au unasubiri watu wakusemee?

Fungua mada yako kisha iseme hiyo serikali yako ila acha shobo kwenye nyuzi za wanaume utafumuliwa malinda.
Wewe ni mwanamke tena shoga mwenye tako kubwa lililotepeta kwa kupigwa vibao na madume lijali kama mimi,umesahau ninavyokutomba shoga wewe??,tena wewe demu unatako laini kama sponge, we demu unamateko lakini na unamahaba hatari, lakini punguza umalaya ,msenge wewe
 
Naona dawa imekuingia kisawa sawa na hiyo ndio faraja kwangu,

Nipo na mamako gheto kwangu muda huu,acha kunisumbua.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Naingilia huu uzi kudeal na nyinyi vijana wajinga wajinga kuwafanya angalau mpate hata akili ya kuvukia barabarani, maana tukiacha taifa liwe na vijana wajinga na wapumbafu kama wewe,taifa hili litakosa mwelekeo na mwisho kuanguka kabisa
Wewe punguani mbona unakwepa kujibu maswali?

Kafungue uzi wako ili uiseme serikali yako,hakuna aliyekuita kwenye huu uzi,kila jambo hua lina pahala pake,na wewe kafungue uzi wako,

Au unatafuta bwana akupelekee moto coz nyie machoko siku hizi wala hamjifichi tena,naona unatingisha kalio zako tu kwenye huu uzi,mwisho wake uje ukate shanga zako za kiunoni.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom