Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

Kumbe umasikini ni adui mbaya hivi! Yaani wapo watu humu anafurahia kabisa anasema watz sjui tuna nini acha apigwe! Binadamu mwenzio kabisaa? Unajiskia vibaya vile amevuka boda we huna ata karatasi ya muda ya kuvukia border! Acheni roho mbaya za vile ubaguzi haukubaliki ukiangalia tuko Africa yetu hii hii wizara ya mambo ya nje simamieni hili jambo kuwanusuru watz na yale mamtu hayanaga ubinadamu kabisaa yakiamua kufanya yao. Kuna clip nyingine nimeona mtu anapigwa na polisi hata hawajishughulishi
 
Waswahili tuna ujauaji mwingi sana sishangai kuona akipigwa
Umasikini, elimu ndogo ndiyo tatizo...umasikini unasababisha roho mbaya na chuki juu ya aliyekuzidi hatua, shule nayo ndogo hujui athari za ubaguzi ni basi tu umeweza kununua smartphone....ukiweza kuvuka border hata ya nchi mbili ukakutana na watu wa mataifa tofauti kama una akili ya kujifunza na kuelewa utakuja kujitukana juu ya hii comment yako. Tafuta hela uvuke border
 
Sasa jitu kama ili ndio liwe kiongozi wenu unategemea Lina msaada gani Zaidi ya uchhoko tu.
Video ya mwezi wa pili hii, huyu jamaa alimkwapua simu huyo dada mwenye koti jeupe, kakimbizwa akakimbilia kwenye maskani ya wabongo wenzake, hatua kadhaa kabla hajafika ndiyo akadakwa na kupewa halali yake, sikiliza kuna mbongo mwenzie hapo hapo anamwambia "kimbia wewe" kama ingekuwa issue ya xenophobia hao wabongo hapo pia wangekuwa matatani, ila walishughulika na kibaka wao tu, acheni upotoshaji.
 
Umasikini, elimu ndogo ndiyo tatizo...umasikini unasababisha roho mbaya na chuki juu ya aliyekuzidi hatua, shule nayo ndogo hujui athari za ubaguzi ni basi tu umeweza kununua smartphone....ukiweza kuvuka border hata ya nchi mbili ukakutana na watu wa mataifa tofauti kama una akili ya kujifunza na kuelewa utakuja kujitukana juu ya hii comment yako. Tafuta hela uvuke border
Bibie Isabela Dos Santos, unakemea ubaguzi, ila hii reply yako nayo imejaa maneno ya kibaguzi pia. Ukitulia vizuri utaliona hilo.

So, unaassume yeyote mwenye aggressive opinion ni sabb ya umaskini wa kipato, elimu ndogo na kutokuvuka borders?

Je, mtu akiwa tajiri ndo unaamini kwamba hawezi kuwa aggressive opinio
n?

On the other note, hao waTZ huko kama ni kweli wanachopitia, basi wafanye namna wawasiliane na ubalozi wa TZ wa huko SA.
 
Ni issue ya uhamiaji au kuna kingine kafanya? Wanachofanya hawana tofauti na wabongo wanaoua kibaka kwa wizi wa saa au serikali inayoua na kuteka waandamanaji kama ya CCM,Africans wengi bado wana akili za kinyama and very primitive people
 
Wao ni wapambanaji tu kutafuta life mbona wewe uluhama kijijini kwenu ukakimbilia sehemu tofauti incase ikitokea tatizo lazima uombe backup home
Wapambane sasa tuone ...Acheni kusumbia watu kwa shobo zao ,hilo suala unafikiria limeanza leo
 
Una mawazo ya enzi za ujima,
Kwahiyo watu wote walioenda nchi zingine kutafuta maisha wamekosea?

If you don't succeed where you are, move,
You are not a tree.
Huoni kosa ,mkimbizi ni mkimbizi ; hauwezi kutafuta haki kwenye nchi za watu.

Unajua matatizo ya watanzania ? Acha wapigwe mbona hapa mnawasema wachina kwa unafiki hamjambo.
 
Huoni kosa ,mkimbizi ni mkimbizi ; hauwezi kutafuta haki kwenye nchi za watu.

Unajua matatizo ya watanzania ? Acha wapigwe mbona hapa mnawasema wachina kwa unafiki hamjambo.
Hata hueleweki unatetea kitu gani na unaponda kitu gani! Una maanisha nini kuwaita wakimbizi hao walioenda kutafuta maisha? Unajua ni vigezo gani vinahitajika ili kumuita mtu mkimbizi?

Kwahiyo wewe,mtu kwenda nchi nyingine kutafuta maisha ni kosa?

Haki unaweza kuikosa hata kama unaishi ndani ya nchi yako,matatizo yanaweza kukufika hata kama umo ndani ya nchi yako,

Maisha ni kutake risk,uoga wako ndio umasikini wako,


Wale waliovunjiwa maduka yao na kuchomwa moto wakati wa yale maandamano,hawakua ndani ya nchi yao?
 
Aisee ndugu zangu leo nilikua na mtz katoka South jana kaja Zenji kanambia yule mbongo alitaka kuiba simu ndo jamaa kumzungumzisha kizulu jamaa hawezi ongea ndo wakampiga vile na ilikua ni mji wa durban tu miji yote ipo shwari tu

Ananambia watz wengi walioko south hawana kazi ndo kazi zao izo nyingi kuiba iba tuuu
 
Siyo ujuaji,Wazansi wanataka raia wote wa kigeni warudi kwenye nchi zao,madai yao wageni wameivamia nchi yao na kufanya biashara kiholela holela. Wanataka kuitengeneza nchi yao na wageni wakazitengeneze nchi zao.
Wazansi wapo sahihi,kabla ya 1997 nchi yao ilikuwa ya kujivunia,baada ya kuanza kuingia wageni biashara haramu zikatamalaki,uharifu ukakua kiwango cha kutisha sana.
Shida ni uongozi mbovu wa ANC uliojaa watu weusi. Wameondoa watu weupe kwenye uongozi na sasa wanaendesha nchi kihuni.

Wanatumia watu weupe na wahamiaji kama kafara ya wananchi kulaumu.

SA imekuwa na wahamiaji muda mrefu sana bila shida.
 
Kuna sehemu nimetetea ubaguzi wa aina yeyote hapa? Au umekurupuka tu kutoka usingizini?
Ninashangaa unapoona watu wema wa afrika kusini unaona watu wabaguzi wakati hapahapa Tanzagiza kunakikundi fulani kinachoitwa chama dola,kinaamua nani aendelee kuishi na nani asiishi,je huu nao sio ubaguzi??,tusiwe wajinga na wanafiki sisi ngozi nyeusi tukawa tunawanyooshea mikono wenzetu,wakati hapa tanzagiza kunakikundi cha utawala na mamluki wanakitu kinaitwa hakiphobia
 
Back
Top Bottom