Nikama wahuni wa dar pale wengi wao wanavyoishi,uswahili uswahili ,uduwanzi .hawaerewek wapo wapo tu.kule maisha magumu.ukienda kule huna sehemu maalumu ya kujiingizia kipato .sasa ukiwa na watu kama hao hawaereweki wanin sasaWanaishije??
Utu ndgNikama wahuni wa dar pale wengi wao wanavyoishi,uswahili uswahili ,uduwanzi .hawaerewek wapo wapo tu.kule maisha magumu.ukienda kule huna sehemu maalumu ya kujiingizia kipato .sasa ukiwa na watu kama hao hawaereweki wanin sasa
Mipaka imefungwa au? Si wabebe mabegi waondoke? Au kuna jambo silielewi
Mbona hapa wageni ndio wenye mali na wewe hauna kitu haujamfukuza mtu..Kwa Jin's raia wanavyoishi wa tz kule hata mim ingekuwa inchi yangu ningefukuza kwa kipigo.
Wazansi watatu kawakalisha huku wakizomewa na wenzaoNilipenda jinsi Mrusi akimkanda Msouth ,alivyoona ni mzungu akajifanya amzingue kifuatacho ITV alichezea kICHapo Heavy.
Dogo the Icebreaker usibaki kulalamika tu mutu wangu chukua hatua kulialia humu kama kondoo mpumbavu haisaidii dogo.Inasikitisha sana kuona,
Muafrika anambagua muafrika mwenzake ndani ya ardhi ya Africa!
Eheee jamaa ana power sana ,kwapiga K.O wote.Wazansi watatu kawakalisha huku wakizomewa na wenzao
View: https://x.com/i/status/2047736024806076785
Wana shurutishwa na ni ghafla
Last month niliwaonya baadhi ya madogo
Wadogo zenu kule hawana documents,hata umpe nauli ya kurudia nyumbani makaratasi ya kuvukia mpakani hawanaHii sio ghafla bana. Hii issue nimeisikia tangu mwaka jana. Kama hutakiwi mahali wewe jiondokee zako tu
Yanaringa na linchi lao wakati ndo wanaongoza kwa kutafuna njugu, mbaazi na minjinguNilipenda jinsi Mrusi akimkanda Msouth ,alivyoona ni mzungu akajifanya amzingue kifuatacho ITV alichezea kICHapo Heavy.
hatari sanaWadogo zenu kule hawana documents,hata umpe nauli ya kurudia nyumbani makaratasi ya kuvukia mpakani hawana
Viongozi wako tangu lini wakawa na huruma nanyi?Serikali tunaomba ndugu zetu waliopo South Africa warudishwe nyumbani.
Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mtz akipigwa sana kama mbwa huko South africa
Hizi ngozi nyeusi zimelaaniwa haya mambo huwezi yakuta ulaya
Sasa jitu kama ili ndio liwe kiongozi wenu unategemea Lina msaada gani Zaidi ya uchhoko tu.Waswahili tuna ujauaji mwingi sana sishangai kuona akipigwa
Ona jinga hiiHuo mjengeo si kweli ni mtanzania
Huyo ni mmalawi kaiba simu