Wote turudi tupambane na serikali haramu ya kibaguzi ya makaburu wa chama dola kongwe walioiharibu nchi yetu Tanzania
Naungana na raia wa South Africa kwanini watu wakimbie kutoka Congo, Nigeria, Zimbabwe n.k wajazane Sauzi kisa wanakimbia utawala mbovu wa nchini mwao, badala ya kupambana na watawala wabovu nyumbani tunapambana na serikali ya Sauzi inayounga uzalendo wa raia wao kuondoa wageni haramu wanaobangaiza mitaani Sauzi
Tutakimbia mazingira mabovu ya nchi zetu za kiafrika kwenda kupanda boti kuingia Ulaya, Marekani, South Africa hadi lini badala ya kufanya mapinduzi tuondoe tawala mbovu ktk mataifa yetu yanayosababisha raia wake kukimbia kwa sababu za kiuchumi, kiajira, umasikini, vita hadi lini?