Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

Vuka border ukiwa unamejiandaa sio vuka border ukauze matunda
Hizi ni akili za waajiriwa bila shaka...kuwa mfanyabiashara mkubwa haimaanishi kila mtu alianza na mtaji mkubwa hapana au alianza kuuza magari
 
Ok
 
Hizi ni akili za waajiriwa bila shaka...kuwa mfanyabiashara mkubwa haimaanishi kila mtu alianza na mtaji mkubwa hapana au alianza kuuza magaelewa ndio ujibu,

 
Hizi ni akili za waajiriwa bila shaka...kuwa mfanyabiashara mkubwa haimaanishi kila mtu alianza na mtaji mkubwa hapana au alianza kuuza magari
Kigezo ni kutoka kwenu au kigezo nikuenda kunitafta mbali w.ew unayesema ivyo uko wapi!!sisi tuliopo uku sa ndo tunajua hao nhizo kauli zenu izo ndo mnaenda kichwa kichwa tu bila kujiandaa wanakuwa na kazi zisizoerewaja miaka nenda miaka rudi.
 
30 April 2026
Hillbrow Johannesburg

Maandamano siku ya pili mjini kati CBD Johannesburg

AFRIKA KUSINI YATOA TAARIFA 🚨 “Hillbrow Sio ya Raia wa Kigeni” – Taarifa ya Ngizwe Mchunu

View: https://m.youtube.com/watch?v=QkxUlU2hw0AWaafrika Kusini wanajibu baada ya Ngizwe Mchunu kusema kwamba Hillbrow na Yeoville si makoloni ya raia wa kigeni, wakisisitiza wasiwasi kuhusu uhamiaji haramu wasio na makaratasi huku wakitoa wito wa ushiriki wa amani.

Kauli hiyo imezua mjadala mkubwa katika jamii, ikizua maswali kuhusu utekelezaji wa sheria, umiliki wa jamii, na mivutano ya kijamii. Katika video hii, tunafafanua hasa kile kilichosemwa, muktadha nyuma ya kauli hizo, na athari zinazojitokeza kote nchini
 
Kama oktoba tu hawakujali mtu sembuse hao nguchiro waliokimbilia south African
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…