Serikali ina mtazamo gani kwenye matukio haya kwa watoto?

Serikali ina mtazamo gani kwenye matukio haya kwa watoto?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Habari zenu

Kumezuka tabia ya wazazi au walezi kufungua akaunti za mitandao ya kijamii huku walijipatia umaarufu kupitia video za watoto wao.

Kwangu mimi si busara mtoto kumuingiza katika dunia ya mitandao wakati bado anahitajika kusoma na kujifunza mambo mengi lakini kinachotokea wazazi wanaenda mbali zaidi kwa kuwapa watoto content za wakubwa.

Binafsi naona serikali inahitajika kufanya jambo ili kuepusha udhalilishaji huu kwa watoto huenda tukapata kizazi kibovu huko tunapoelekea.

Maoni yangu tu.
 
Back
Top Bottom