Inasemekana kuwa mzigo wa magunia ya zao maarufu la kibiashara la Korosho kutoka nchini Tanzania limekutwa lina mawe mengi nchini Vietnam. Hii inashangaza sana. Maana kwa kawaida kila anayepeleka Korosho kuuza ghalani lazima azimwage zionekane au kuwe kuna ukaguzi kuhakikisha mzigo huu uko sawa...