Tetesi: Serikali inahangaika juu ya Panya Road wakati dawa yake ni Makonda

Tetesi: Serikali inahangaika juu ya Panya Road wakati dawa yake ni Makonda

Yeye mwenyewe Panya road. Umesahau alivyovamia Clouds, kumteka Roma na kuahidi kumrudisha baada ya Siku 3?!!

Pompeo alimwambia huyu kijana ni muuaji akikanyaga USA wanamla nyama.
 
Alete vyeti kwanza hii awamu sio ya kubebana
Kuna yule Waziri alituambia wanaokaguliwa vyeti ni watumishi wa Umma. Akaongeza kwa kusema Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya sio watumishi wa umma kwahiyo ilo zoezi haliwahusu.

Nikiikumbuka ile awamu.......
 
Kuna yule Waziri alituambia wanaokaguliwa vyeti ni watumishi wa Umma. Akaongeza iwa kusema Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya sio watumishi wa umma kwahiyo ilo zoezi haliwahusu.

Nikiikumbuka ile awamu.......
Ile awamu Mungu atuepushilie mbali na aifute kwenye kumbukumbu, isije rudi tena
 
Back
Top Bottom