Tetesi: Serikali inahangaika juu ya Panya Road wakati dawa yake ni Makonda

Yeye mwenyewe Panya road. Umesahau alivyovamia Clouds, kumteka Roma na kuahidi kumrudisha baada ya Siku 3?!!

Pompeo alimwambia huyu kijana ni muuaji akikanyaga USA wanamla nyama.
 
Serikali inahangaika juu ya Panya road wakati dawa yake ipo.

Kwanini msimchukue huyu jamaa awasaidie hiyo kazi ya kutimua hao panya road.

Nmemaliza.
Hizo tetesi ulizosikia sio kweli, gasho hawezi kupambana na panya road.
 
Alete vyeti kwanza hii awamu sio ya kubebana
Kuna yule Waziri alituambia wanaokaguliwa vyeti ni watumishi wa Umma. Akaongeza kwa kusema Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya sio watumishi wa umma kwahiyo ilo zoezi haliwahusu.

Nikiikumbuka ile awamu.......
 
Kuna yule Waziri alituambia wanaokaguliwa vyeti ni watumishi wa Umma. Akaongeza iwa kusema Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya sio watumishi wa umma kwahiyo ilo zoezi haliwahusu.

Nikiikumbuka ile awamu.......
Ile awamu Mungu atuepushilie mbali na aifute kwenye kumbukumbu, isije rudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…