Serikali inakiuka Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wafungwa

Serikali inakiuka Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wafungwa

Wafungwa wanatakiwa watumike katika kuendeleza na kukuza uchumi wa taifa letu. Yani ikiwezekana magereza ifanye kama vile JKT.

Wafungwa wazalishe bidhaa mbalimbali na waziuze kwa faida yao kwa koasi na taasisi pia kwa kiasi kikubwa.

#NiMtazamo
sahii mkuu
 
Upo sawa, kifungo ni adhabu na pia kumrekebisha mfungwa akitoka awe raia mwema.

Wapewe nafasi ya kupata elimu, kujifunza fani mpya. Wakitoka wajiajiri.
Open university Kuna kipindi walikua wanatoa elimu Kwa njia ya Masafa Hadi Gerezani Kuna jamaa miaka ya 1990s alihitimu LLB akiwa Gerezani Ukonga.

NB: Hiyo ibara ya 11 isome yote utaielewa vizuri. HAKI ya kupata elimu imekuja na masharti kadhaa ikiwemo ABILITY
 
Wewe ajuza na udini wako wa kijinga, Qur'an ndiyo ujuzi? lala usituchafue hapa
Qur'an ni "mama" wa vitabu vyote.

Kitabu pekee duniani kilichohifadhiwa na watu wengfi zaidi wa mataifa yote. Bila kujali lugha zao wala elimu yao, wala ujuzi wao, wala umri wao.

Elimu kubwa zote unazizijuwa wewe duniani zimeanzia kwenye Qur'an. Ni msingi wa kila elimu.

Soma kijana, usiwe mjinga mjinga wa kuwa kuwa na chuki za ujinga (phobia).
 
Ajuza wewe ni mjinga sn, so utajiajiri kwa Qur'an? huna akili wewe, sisi tuna taka watu watoke na ujuzi wa kusawaidia kwenye maisha yao.
 
Back
Top Bottom