Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
- Thread starter
- #21
sahii mkuuWafungwa wanatakiwa watumike katika kuendeleza na kukuza uchumi wa taifa letu. Yani ikiwezekana magereza ifanye kama vile JKT.
Wafungwa wazalishe bidhaa mbalimbali na waziuze kwa faida yao kwa koasi na taasisi pia kwa kiasi kikubwa.
#NiMtazamo