Mnakimbilia matusi haraka sana. Ndege zinaitangaza nchi. Tazama tofauti ya waethiopia mmoja mmoja halafu tazama shirika lao la ndege linavyoitangaza nchi yao kimataifa.
Haya huwezi kuyaelewa kama upeo wako unaishia humu humu nchini.
..hamia Ethiopia.
..Waethiopia kila siku wanakimbia nchi yao kwa kupigika kimaisha / kiuchumi ndege zina faida kiduchu sana kwa nchi yao.
..ndege kwa late comers na nchi masikini kama Tz ni hasara tupu. Mashirika ya ndege yanafaa nchi tajiri zenye mapesa ya kuwekeza kama Dubai na Qatar.