Serikali inanunua ndege kwa mbwembwe huku wanafunzi 65,000 wanakaa chini!

Ni kawaida sana chawa kutetea hata mambo ya hovyo
Mnakimbilia matusi haraka sana. Ndege zinaitangaza nchi. Tazama tofauti ya waethiopia mmoja mmoja halafu tazama shirika lao la ndege linavyoitangaza nchi yao kimataifa.

Haya huwezi kuyaelewa kama upeo wako unaishia humu humu nchini.
 
Watu kama nyinyi hamna faida kwa taifa maana kazi henu ni kuzifu na kutukuza na kuishia kupiga vigeregere tu.

Juzi mlitutangazia kuiondoa sh 100 kwenye tozo za mafuta ili kumpunguzia mwananchi ghalama za mafuta ukafurahia kama zuzu.

Leo hii hiyo dh 100 imerudishwa bado unafurahia na kucheza mdundiko kama mazuzu tu hamna msimamo.
 
Yale matrilioni tuliyoambiwa ni ya madawati yameenda wapi?
Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?

Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?

Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini.

CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu tuliowachiwa ma Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere.
 
Watu kama nyinyi hamna faida kwa taifa maana kazi henu ni kuzifu na kutukuza na kuishia kupiga vigeregere tu.

Juzi mlitutangazia kuiondoa sh 100 kwenye tozo za mafuta ili kumpunguzia mwananchi ghalama za mafuta ukafurahia kama zuzu.

Leo hii hiyo dh 100 imerudishwa bado unafurahia na kucheza mdundiko kama mazuzu tu hamna msimamo.
Nyinyi walalamikaje mna faida kwa hatima ya taifa!?. SSH ameongea kwanini imerudishwa hiyo shilingi mia, tafuta hotuba yake ya leo akiongea kwenye shughuli ya CAG.
 
Kwa maana hiyo yeye ndiyo anakushikia akili zako?
 
Ndio maana maeneo hayo wanayoishi hao billionaires yana shule nzuri na barabara nzuri , sababu ni hizo nyumba zinalipa property taxes na pesa yote inabaki hapo hapo kwa ajiri ya shule zao , park na barabara zao, na sehemu maskini US zina shule mbovu kwa sababu hiyo hiyo hawana loca tax base ya kutosha kufanya shule zao ziwe superb maana pesa wanayopata ni ya federal tuu ambayo ni limited,

Imagine Geita wangekuwa wanapata 10% ya tax inayolipwa hapo na makampuni yanayo operate hapo, ingesaidia kuleta ushindani na watu kufanya kazi kwa bidii popote walipo ili wapate maendeleo
Sasa serikali kuu inapata wapi pesa!
 
Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?

Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?

Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini.

CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu tuliowachiwa ma Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere.
Halafu si mpo jirani na Burundi?
 
Back
Top Bottom