Serikali inanunua ndege kwa mbwembwe huku wanafunzi 65,000 wanakaa chini!

Jibu hoja za watu ndugu [emoji1787]
Tatizo akili zako ulisahau kuzidai kutoka kwa jiwe kabla hajafikwa na mauti.
2022-03-22_23%3A36%3A446.jpg
 
Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?

Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?

Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini.

CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu tuliowachiwa ma Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere.
Wewe mtoa mada lazima ukumbuke kwamba sheria ya maudhui mtandaoni haijafutwa wala kusimama.

Pia sheria ya Takwimu haijafutwa kwa hiyo kuwa makini.

Unaonyesha unaleta uzushi Ili kuzuia taharuki kwa kutunga habari ambaO hazina source.

Watoto 65,000 ni wengi ,weka source ya taarifa yako kabla hujapewa kibano.
 
Mkuu, sina tatizo na uimarishwaji wa usafiri wa ndege. Comment yangu ilikuwa ni kwamba serikali kuingilia na kuiua Fast Jet haikuboresha kwenye hii sector probably waliirudisha nyuma kidogo kwa kutaka monopoly ya serikali kwenye hii sector. Kulikuwa hakuna sababu ya kuiuwa sector binafsi ili ATCL ianzishwe.
Mkuu, umewahi kujiuliza kwanini kama lengo ilikuwa ni kuisaidia Atcl kwa kuia Fast Jet , kwanini Precision bado ipo?!
Kuna kampuni za nje zinakuja hapa kwetu lakini zina makandokando mengi. Fuatilia madeni wanayodaiwa na watu kuanzia abiria, Wafanyakazi wake hadi watoa huduma wake.
 
Tatizo akili zako ulisahau kuzidai kutoka kwa jiwe kabla hajafikwa na mauti.View attachment 2169194
Mimi huwa sishikiwi akili zangu Mkuu, huwa nafanya kile akili yangu inaniambia ni sahihi na sipendi uadui na mtu, siwezi kuruhusu utofauti wa mitazamo yetu itufanye kuwa maadui.
 
Mkuu, umewahi kujiuliza kwanini kama lengo ilikuwa ni kuisaidia Atcl kwa kuia Fast Jet , kwanini Precision bado ipo?!
Kuna kampuni za nje zinakuja hapa kwetu lakini zina makandokando mengi. Fuatilia madeni wanayodaiwa na watu kuanzia abiria, Wafanyakazi wake hadi watoa huduma wake.
I can't say for sure what happened lakini walitumia Technical issues kuifunga. Ingekuwa ni awamu nyingine kwa sababu walizozitoa kama ni kweli wangelisimamisha kampuni ili lilekebishe then wanarudi angani. Lakini kwa awamu ile ilikuwa ni tofauto. Unatafutiwa sababu ya kuondolewa kabisa kwenye picha.

Kampuni ingifungwa kwa namna ile ilivyofanyiwa Fast Jet au Kufilisika lazima madeni ya watumishi na creditors yatakuwepo. Hilo siyo ajabu. Hata South Africa Airways ilipositishwa ghafla kuna watu walikuwa tayari na tickets zao .... hivyo inakula kwako. Sidhani kama wafanyakazi walikuwa wanamalimbikizo ya mishahara kabla ya kufutwa. Majuzi wafanyakazi wa Fast Jet walikuwa wanamlilia Maza warudishiwe leseni yao.

Tatizo kubwa Bongo regulators wako too corrupt na serikali inapenda sana kuingilia sector binafsi.
 
Ni kweli pia kiu ya kuona Atcl inasimama nayo ilikuwa kubwa.
 
Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?

Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?

Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini.

CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu tuliowachiwa ma Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere.
Nani alikwambia CCM ni kwa ajili ya maendeleo?
 
Sasa chama kizima mkiwa chawa nani atamshauri mwenyekiti anapokosea.

View attachment 2169335
Eti tumetoa tozo ya sh 100 kwenye bei ya mafuta ili kumlinda mwananchi.....

Chawa na mataga mkapiga mayowe na vigeregere kwa kushangilia kama vile mazuzu msiyo na akili.

Leo hii tunairidisha ile sh 100 mazuzu mnapiga miayo dadeeeki mazuzu wa lumumba.
 
Uwepo wa jua au giza hauhitaji picha. Nikukumbushe CCM walishatunga sheria ukiweka picha tu PINGUUUUU......
Hongera sana kwa kutukumbusha huo mtego mkuu
 
I can't say for sure what happened lakini walitumia Technical issues kuifunga. Ingekuwa ni awamu nyingine kwa sababu walizozitoa kama ni kweli wangelisimamisha kampuni ili lilekebishe then wanarudi angani. Lakini kwa awamu ile ilikuwa ni tofauto. Unatafutiwa sababu ya kuondolewa kabisa kwenye picha.

Kampuni ingifungwa kwa namna ile ilivyofanyiwa Fast Jet au Kufilisika lazima madeni ya watumishi na creditors yatakuwepo. Hilo siyo ajabu. Hata South Africa Airways ilipositishwa ghafla kuna watu walikuwa tayari na tickets zao .... hivyo inakula kwako. Sidhani kama wafanyakazi walikuwa wanamalimbikizo ya mishahara kabla ya kufutwa. Majuzi wafanyakazi wa Fast Jet walikuwa wanamlilia Maza warudishiwe leseni yao.

Tatizo kubwa Bongo regulators wako too corrupt na serikali inapenda sana kuingilia sector binafsi.
Niliumia sana kufungwa kwa huduma za Fast jet.

Ilikuwa na tozo za kinafuu sana hasa kwetu sisi wenye kipato cha chini.
 
Eti tumetoa tozo ya sh 100 kwenye bei ya mafuta ili kumlinda mwananchi.....

Chawa na mataga mkapiga mayowe na vigeregere kwa kushangilia kama vile mazuzu msiyo na akili.

Leo hii tunairidisha ile sh 100 mazuzu mnapiga miayo dadeeeki mazuzu wa lumumba.
Yaani unawasagia kunguni hawa machawa!

1786785_FB_IMG_1530639563871.jpg
 
Twambie tangu mwaka 2016 hadi leo hii zimesaidia wapi kuongeza mzunguko wa fedha hapa nchini.

Zimebakia kuwa makumbusho ya taifa tu na afadhali Hangaya anasaidia marubani wetu angalau kupata visafwaari
Kuelewa faida ya ndege kwenye utalii kwa nchi iliyojaliwa rasilimali kama Tanzania, inahitaji uende shule na uwe una faulu vizuri sio kuwa msindikizaji.
 
Twambie idadi ya watalii walio ongezeka mara baada ya kununua hayo mandege kwa keeeeshiiiii
 
Back
Top Bottom