Serikali inanunua ndege kwa mbwembwe huku wanafunzi 65,000 wanakaa chini!

Serikali inanunua ndege kwa mbwembwe huku wanafunzi 65,000 wanakaa chini!

Mnachagua picha kujaribu kuhalalisha mawazo yenu duni. Kuna maelfu ya shule shikizi zinazojengwa muda huu, tafuta picha zake uziweke humu pia.
Lazima muipongeze sana corona maana bila hiyo kitu msingepewa hizo fedha.

Jiwe aliidharau nayo ikapita naye
 
Natamani siku zikiuzwa kama chuma chakavu ninunue moja na kuibadili iwe Restaurant ya maana katikati ya jiji au hifadhi moja
Kwani hata Ghana na Ethiopia wameuza sana
IMG_4757.jpg

IMG_4754.jpg
 
Hakuna nchi iliyomaliza shida za wananchi wake wote kisha ndio ikawekeza kwenye vitega uchumi,ukisema usubiri matatizo yote yaishe ndio uwekeze kwenye Ndege basi sahau kununua hizo Ndege,

Ila hizo Ndege zikisimamiwa vizuri ndizo zitakazo leta faida ya kununua hayo madawati na mahitaji mengine,

Angalizo.Mimi sio shabiki wa vyama vya Siasa,usije ukaniita tu sijui buku 7 au bavicha au vyovyote vile.
Mkuu, ndege haziwezi kuleta hizo pesa na maendeleo unayoyafikiria .... Sana sana pesa nyingi zaidi zitaishia huko. Watalii hawaji nchini siyo kwa sababu ya ndege .... Ukiona BA hairuki kuja Tanzania ujue kuwa hakuna abilia wa kutosha kutoka UK kuja kwetu. Fast Jet alikuwa anasafirisha watu kwa bei nafuu zaidi .... sasa kuwaondoa wao na kuleta ndege za ATCL kunasaidia nini? Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kuboresha pale ambampo palikuwa na tatizo.

Sehemu ambayo serikali ilitakiwa imwage pesa za kutosha ni kwenye kilimo na migodi.Hizo pesa zingeelekezwa huko mpaka sasa zingekuwa zimesharudi zaidi ya mara tatu au tano kabisa. Imagine kama 1 Trillion ingewekezwa Liganga na Mchuchuma .... au 200 billion kwenye kilimo cha alizeti na Mawese .....!!
 
Usemayo ni sawa, ila usidharau umuhimu wa movements za watu wanaotumia ndege kwa uchumi wa nchi. Pia kuna tertiary businesses nyingine zinakuwa na biashara ya ndege, nyingi tu.
Ni sawa barabara ya lami ikijengwa, kuna mengi yataibuliwa na hiyo barabara yenye manufaa kwa watu wa hapo.
Kwa hili la ndege, ungefanya utafiti wa sample ya ndogo tu pale Airport kujua wale abiria wamefaidikaje kwenye shughuli zao, ungepata picha.. Strong aviation industry ni muhimu sana.
 
Mkuu, sina tatizo na uimarishwaji wa usafiri wa ndege. Comment yangu ilikuwa ni kwamba serikali kuingilia na kuiua Fast Jet haikuboresha kwenye hii sector probably waliirudisha nyuma kidogo kwa kutaka monopoly ya serikali kwenye hii sector. Kulikuwa hakuna sababu ya kuiuwa sector binafsi ili ATCL ianzishwe.
 
Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?

Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?

Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini.

CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu tuliowachiwa ma Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere.
Mkoa wa Sumbawanga ndio mkoa gani?

Na hapo mumshukuru Samia kwa madarasa ya uviko vinginevyo mngesomea kwenye miti kabisa.

Mwisho mkiendelea kusubiria serikali itawamala, Kilimanjaro huwa hawasubirii serikali,hao ni watoto wenu,na hii akili ya kindezi ya kuwaza msaada ni ujinga.

Msaada hauji kumaliza matatizo bali ku compliment juhudi yenu,sasa endelea kukaa ukisubiria msaada utatembea na vilaka.
 
Mkuu, sina tatizo na uimarishwaji wa usafiri wa ndege. Comment yangu ilikuwa ni kwamba serikali kuingilia na kuiua Fast Jet haikuboresha kwenye hii sector probably waliirudisha nyuma kidogo kwa kutaka monopoly ya serikali kwenye hii sector. Kulikuwa hakuna sababu ya kuiuwa sector binafsi ili ATCL ianzishwe.
Watanzania hatutokaa tusahau aliyo yafanya Jiwe kisa kuogopa ushindani.

Fast Jet walikuwa wanajipigia kazi veema kabisa lkn akatokea mtu mmoja tu muogopa ushindani akawaondoa tu kwa hila.

Niliwahi kwenda Bukoba kwa nauli ya sh 200 000 tu lkn leo hii nauli haikamatiki kisa ukilitimba.
 
Endelea na akili za fisi, ndege zinaongeza mzunguko wa pesa wa hazina.
Twambie tangu mwaka 2016 hadi leo hii zimesaidia wapi kuongeza mzunguko wa fedha hapa nchini.

Zimebakia kuwa makumbusho ya taifa tu na afadhali Hangaya anasaidia marubani wetu angalau kupata visafwaari
 
Back
Top Bottom