Mnakimbilia matusi haraka sana. Ndege zinaitangaza nchi. Tazama tofauti ya waethiopia mmoja mmoja halafu tazama shirika lao la ndege linavyoitangaza nchi yao kimataifa.
Haya huwezi kuyaelewa kama upeo wako unaishia humu humu nchini.
Tena asilimia kubwa ya uchumi wa Ethiopia unategemea usafiri wa anga,na wana ndege kubwa na za kisasa 120...hamia Ethiopia.
..Waethiopia kila siku wanakimbia nchi yao kwa kupigika kimaisha / kiuchumi ndege zina faida kiduchu sana kwa nchi yao.
..ndege kwa late comers na nchi masikini kama Tz ni hasara tupu. Mashirika ya ndege yanafaa nchi tajiri zenye mapesa ya kuwekeza kama Dubai na Qatar.
Ukiwa na wataalam wazalendo hakuna linaloharibika. Kama wakipewa uhuru wa kufanya kazi...hamia Ethiopia.
..Waethiopia kila siku wanakimbia nchi yao kwa kupigika kimaisha / kiuchumi ndege zina faida kiduchu sana kwa nchi yao.
..ndege kwa late comers na nchi masikini kama Tz ni hasara tupu. Mashirika ya ndege yanafaa nchi tajiri zenye mapesa ya kuwekeza kama Dubai na Qatar.
Ukiwa na wataalam wazalendo hakuna linaloharibika. Kama wakipewa uhuru wa kufanya kazi.
Huwezi kupewa na Mungu baraka zote hizi kwa maana ya uzuri wa asili na madini halafu usiwe na shirika la ndege la kuwakaribisha watalii...tutakuja kulaumu watu bure tu.
..au hata kuharibu career au rekodi za watakaopewa dhamana kuendesha shirika hilo.
..shirika la ndege ni mzigo wa HASARA kwa taifa ila ndio hivyo tena wakubwa wameshaamua.
Nyie ndio hua mkienda hoteli unaambiwa juis 3000 unaanza oh mbona uswahilin 500 kunaserekali gani iliyo jitosheleza kwa kila kituHivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?
Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?
Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini.
CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu tuliowachiwa ma Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere.
Pole sana sukuma gang leo mmezidi kumeng'enyuka baada ya Membe kurudishwa ndani ya ccm.Huwezi kupewa na Mungu baraka zote hizi kwa maana ya uzuri wa asili na madini halafu usiwe na shirika la ndege la kuwakaribisha watalii.
Hata huyo Mungu atakucheka kwa uzembe wa kujituma.
Ndiyo maana tunahitaji kupata katiba mpya...tutakuja kulaumu watu bure tu.
..au hata kuharibu career au rekodi za watakaopewa dhamana kuendesha shirika hilo.
..shirika la ndege ni mzigo wa HASARA kwa taifa ila ndio hivyo tena wakubwa wameshaamua.
Kaombe tbc
CCM ni ile ile wagombanao ndio wapatanao.Warundi leo ndiyo mpo kilioni maana alio wakataa jiwe sasa wanarudishwa ccm
Kinana, Membe, Nape, wa zamani wamerudi wote. Mangula kajiuzulu, kama vile kaona kuwa amezungukwa na watu wanaomfanyia fitina.Pole sana sukuma gang leo mmezidi kumeng'enyuka baada ya Membe kurudishwa ndani ya ccm.
Bahati mbaya sina picha mkuu maana chanzo cha hii habari hawakutoa picha hii.
Wanafiki ni sukuma gang kama wewe