Tanganyika Mpya
Senior Member
- May 3, 2024
- 170
- 375
Hakutaka kujibidiisha. Ukienda shule za kanisa (RC) kama mtoto hajitumi Wana kwambia mzazi mtafutie shule nyingine. Sijajua shule za dini nyingine na shule za serikaliUmesema private school na sio za serikali ama
Sasa kwani hakuna somo la kiingereza mashuleni?
Mbona kijana wa form 4 hawezi kuongea
Hapo tatizo ni nini wakati wapo waalimu wa masomo.hayo