Serikali inapambana na Wamasai kutoka Arusha kwenda pwani na Morogoro; hakuna kabila linalopitia magumu haya

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Masai amejionea rangi zote; kila anapokwenda anaambiwa kaa mbali waache wawekezaji.

Amechapwa huko Ngorongoro, Manyara, Pwani na sasa huko Morogoro.

Hawa jamaa hadi unawaonea huruma kwa namna wanavyopitia wakati mgumu. Kibaya zaidi viongozi wao wamekaa kimya wasisulubiwe.

Sijui tunawasaidiaje hawa binadamu wenzetu! Nadhani kutokuvaa kwao suti wanaonekana kama watu wasio na akili au uwezo wa kufikiri na hivyo kuonekana kama kila walipo wapo Sehemu isiyo sawa.

Hakuna mwenye time yakuwatetea, jamii zote wakiwemo viongozi wa dini wamewapotezea.

Naamini kwa mateso haya itawalazimu wazee wa mila wakae nakulitafakari hili kisha kufanya jambo lakuwalinda ndugu zetu hawa wavamizi
 
Hao wamasai wakiachwa hawakawii kuingia na ng'ombe wao Pwani na Dar es salaam.
Mbona wamasai wasiotembea na mifugo wana move free tu?
Kama kweli wanatafuta malisho mbona hawaelekei upande wa mkoa wa Mara? Wamasai ni wahuni tu sometimes.
 
Wamasai bado hawajui tatizo ni nini na wewe pia hujui tatizo ni nini🐒🐒🐒
 
Hao wamasai wakiachwa hawakawii kuingia na ng'omba Pwani na Dar es salaam. Mbona wwamasai wasiotembea na mifugo wana move free tu.
Kama kweli wanatafuta malisho mbona hawaelekei upande wa mkoa wa Mara? Wamasai ni wahuni tu sometimes.
Ujinga ni mzigo, soma mada ya mwandishi,usikurupuke kuandika tu pumba bira hata kuelewa kilichoandikwa.
 
Masai amejionea rangi zote; kila anapokwenda anaambiwa kaa mbali waache wawekezaji.

Amechapwa huko Ngorongoro, Manyara, Pwani na sasa huko Morogoro.

Hawa jamaa hadi unawaonea huruma kwa namna wanavyopitia wakati mgumu. Kibaya zaidi viongozi wao wamekaa kimya wasisulubiwe.

Sijui tunawasaidiaje hawa binadamu wenzetu! Nadhani kutokuvaa kwao suti wanaonekana kama watu wasio na akili au uwezo wa kufikiri na hivyo kuonekana kama kila walipo wapo Sehemu isiyo sawa.

Hakuna mwenye time yakuwatetea, jamii zote wakiwemo viongozi wa dini wamewapotezea.

Naamini kwa mateso haya itawalazimu wazee wa mila wakae nakulitafakari hili kisha kufanya jambo lakuwalinda ndugu zetu hawa wavamizi
Naamini kwa mateso haya itawalazimu wazee wa mila wakae nakulitafakari hili kisha kufanya jambo lakuwalinda ndugu zetu hawa wavamizi[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masai amejionea rangi zote; kila anapokwenda anaambiwa kaa mbali waache wawekezaji.

Amechapwa huko Ngorongoro, Manyara, Pwani na sasa huko Morogoro.

Hawa jamaa hadi unawaonea huruma kwa namna wanavyopitia wakati mgumu. Kibaya zaidi viongozi wao wamekaa kimya wasisulubiwe.

Sijui tunawasaidiaje hawa binadamu wenzetu! Nadhani kutokuvaa kwao suti wanaonekana kama watu wasio na akili au uwezo wa kufikiri na hivyo kuonekana kama kila walipo wapo Sehemu isiyo sawa.

Hakuna mwenye time yakuwatetea, jamii zote wakiwemo viongozi wa dini wamewapotezea.

Naamini kwa mateso haya itawalazimu wazee wa mila wakae nakulitafakari hili kisha kufanya jambo lakuwalinda ndugu zetu hawa wavamizi
Kasome waraka wa TEC
 
Viongozi wa kimasai wapo kimya ndugu zao wanateseka
Wanapata msoto kama wana wa Israel kule misri kwa Farao
CCM imekuwa Farao kwa Wamasai.
 
Tatizo ni serikali kushindwa kugawanya vizuri maeneo ili jamii zote zinufaike.Kuna mapori mengi ambayo hayana sababu yakuwepo ila yanashikiliwa kwa kigezo cha uhifadhi wakati uhifadhi wenyewe wala haufanyiki.Tunachukia ng'ombe uku nyama tunakula.
 
Back
Top Bottom