Kwasababu ndio lango kuu la kuingia katika Jiji la DSM.Why mbezi magufuli?
Pia Mbezi bado kuna nafasi ya kutosha, hakuna msongamano kama ilivyo kkoo.
Kwa sasa Mbezi Magufuli ndio centre ya Jiji,Mbezi, Tegeta, Kigamboni, Mbagala, Gongo la Mboto,
Huwezi kufananisha msongamano wa kkoo na Mbezi. Mbezi bado kuna nafasi ya kutosha.Mbezi Mwisho ipi hiyo isiyo na msongamano mkuu?
matozo yakiwa haya hata waanzishe masoko makuu kila kata, migomo haitakoma.Kwa sasa Mbezi Magufuli ndio centre ya Jiji,
Endapo Serikali itawekeza vilivyo basi itakuwa Dubai ya pili
Wewe endelea kugoma ufe njaa, wenzako walio na maduka hapo kkoo Wana maduka maeneo mengine ikiwemo huko Mbezi wanaendelea kuuza kama kawaida.matozo yakiwa haya hata waanzishe masoko makuu kila kata, migomo haitakoma.
Bahati nzuri serikali imewaza hili kabla hata wewe hujaliwaza! Pale Ubungo ilipokuwa stendi kuu ya mabasi kunajengwa soko lenye hadhi ya kariakoo tena mkakati wake ni kwamba bidhaa kutoka China,UAE zitakuwa zinapatikana palepale kwa bei ile ile ya china.Kwasababu ndio lango kuu la kuingia katika Jiji la DSM.
Lakini stendi ya mabasi ya Magufuli inaingiza wageni wote kutoka mikoa yote na pia nchi jirani kama; Kenya, Uganda, Burundi, DRC, Malawi, msumbiji, n.k.
Pia Mbezi bado kuna nafasi ya kutosha, hakuna msongamano kama ilivyo kkoo.
Muda, wataokoa muda, mfanyaboashara atashuka kwenye basi Kisha atafanya manunuzi yake palepale bila kusumbuka kwenda kkoo.
Hivyo naishauri Serikali ijenge kkoo nyingine hapo Mbezi mwisho.
Nadhani ingekuwa nje ya mji kidogo, tayari pale kuna watu wengi wamejengaKwa sasa Mbezi Magufuli ndio centre ya Jiji,
Endapo Serikali itawekeza vilivyo basi itakuwa Dubai ya pili
hata masoko mengine yakianza yatahodhiwa.Wewe endelea kugoma ufe njaa, wenzako walio na maduka hapo kkoo Wana maduka maeneo mengine ikiwemo huko Mbezi wanaendelea kuuza kama kawaida.
Tatizo la kkoo kuna watu wamehodhi kila kitu!! hii ni hatari.
Bado Ubungo hapatoshi ni pa finyu, Mbezi ni eneo zuri zaidi kibiashara na linaweza kuwa zaidi ya kkoo.Bahati nzuri serikali imewaza hili kabla hata wewe hujaliwaza! Pale Ubungo ilipokuwa stendi kuu ya mabasi kunajengwa soko lenye hadhi ya kariakoo tena mkakati wake ni kwamba bidhaa kutoka China,UAE zitakuwa zinapatikana palepale kwa bei ile ile ya china...
After all eneo kariakoo huwezi kuita ni soko (ukiachana na lile soko la Mtaa wa Congo) ya kwamba serikali inaweza kujenga tu popote na kukawa kama kariakoo noo! Lile ni eneo tu la biashara(bussiness hub) halijajengwa na serikali kiuhalisia yale ni makazi ya watu walioamua kujiongeza kwa kujenga fremu kwenye nyumba zao matokeo yake mrundikano wa fremu ukazaa bussiness hub na sio kwamba serikali ndio imejenga,serikali kusema imejenga soko labda hapo inavyofanya ubungo sasa hivi,sijui umenipata hapa!!
Hapana kkoo iliachiliwa sana, Serikali imekuja kushituka late!!hata masoko mengine yakianza yatahodhiwa.
Mbez bado kando ya mji. Hilo ni rahis kuzungumzika lkin ni ngum kutekelezeka. Kkoo Iko karib sna n city center... N pale ilipo ni karibu n bandari. Unalifham n Hilo?Kwasababu ndio lango kuu la kuingia katika Jiji la DSM.
Lakini stendi ya mabasi ya Magufuli inaingiza wageni wote kutoka mikoa yote na pia nchi jirani kama; Kenya, Uganda, Burundi, DRC, Malawi, msumbiji, n.k.
Pia Mbezi bado kuna nafasi ya kutosha, hakuna msongamano kama ilivyo kkoo.
Muda, wataokoa muda, mfanyaboashara atashuka kwenye basi Kisha atafanya manunuzi yake palepale bila kusumbuka kwenda kkoo.
Hivyo naishauri Serikali ijenge kkoo nyingine hapo Mbezi mwisho.
Stendi ya kimataifa ipo Mbezi, inaingiza wageni kwa maelfu usiku na mchana.Mbez bado kando ya mji. Hilo ni rahis kuzungumzika lkin ni ngum kutekelezeka. Kkoo Iko karib sna n city center... N pale ilipo ni karibu n bandari. Unalifham n Hilo?